Most wanted

Most wanted

Hata yeye hakuona bana tulikuwa bize ndani ya net ebo!!!

Nipe basi hayo matokeo jaman!!!!

Ukitaka usirias nenda kule sihasa utawakuta wenzio wako sirias km wanafanya mtihan wa hesabu wa fom fooooo!

Rejao anayo matokeo. Alikuwa anapga chabo goal.com.
Kule ban zpo nje nje.
Mtei One...Hivi hiyo siku kulikuwa na match ya aina gani? sisi tulikuwa busy na match yetu bana...
naona unachikonoa kweli ujue kila kitu!! Angalia tu usichanganyikiwe...
 
Last edited by a moderator:
asa hao watu wanaotafutwa mbona nawaona tena humuhumu wamekunja nne afu hawakamatwi....vipi tena au ndo tuseme wamekula rushwa!
 
Muulze Cantalisia atakwambia ni mech gan ilikwepo.

Nimekuchokonoa wapi Rejao?
 
Last edited by a moderator:
asa hao watu wanaotafutwa mbona nawaona tena humuhumu wamekunja nne afu hawakamatwi....vipi tena au ndo tuseme wamekula rushwa!

mleta mada mwenyewe tumeshamchakachua...kwisha habari yake...
 
Mtei One...Hivi hiyo siku kulikuwa na match ya aina gani? sisi tulikuwa busy na match yetu bana...
naona unachikonoa kweli ujue kila kitu!! Angalia tu usichanganyikiwe...
Asikuchoshe huyo nadhan ni muda wetu wa kupata cha mchana now!
 
He he he he, wewe Mtei One na Rejao, mnantafuta
Leo mie nimeanzia kwenye upako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom