Moshi wanawake wanapambana kuliko midume ya Dsm

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Moshi bhana , raha sana.

Wanawake wanapiga kazi. Wanawake wanahangaika kila mahali , kila sector bila aibu. Si mabinti , si wamama , si wabibi , si masista duu wote wanatafuta pesa usiku na mchana kama ilivyo nchi za watu.

Ukiwa bar mjini Moshi , ni rahisi sana kufanya shopping ya kila kitu cha nyumbani na vinginevyo. Kila kitu kinapita , unafanya negotiation na kununua , then una unavitupia kwenye gari kwenye buti. Hauwazi.

Dsm wanaume laini sana. Wanaogopa mvua.Wanaogopa kuchafuka.Wanaogopa matope.Wanaogopa kula ugali. Wanaogopa panya road. Waoga waoga mno.

Shida sana Dsm , raha ilioje Moshi.
 
Naam wanawake wa kichaga uchumi wa kilimanjaro wanamiliki kwa 40% manake kule ma biashara makubwa unakuta Pia yanamilikiwa na wanawake
Mfano maghorofa nk
Pia makampuni ya magari yapo mengi tu ya wanawake jambo ambalo ni geni sana kwa makabila mengine hasa wahaya
Wanawake wa kihaya wengi ni wapiga majungu/wavivu
 
Ni kwli usemayo niliiona hii moshi..bar kila baada ya dk lazma apite mama anauza either raba za mitumba au nģuo za mitumba..nadra sana kukuta hvyo mikoa mingine...ila nilikua nacheka..wwngine wakifika bar anaagiza na bia 1 akimaliza anaendelea na biashara yake😀😀😀
 
Mbona hamna Uchekeshji hapo. Unamatatizo gani? [emoji19]
 
Vipi wanaume wa Rombo na kwingineko..?
 
Wahaya wametoka wap mkuu

Kwenye Uzi wa moshi?
 
Shida ni moja hawaoleki sasa wasipofanya kazi watakula kwa jirani amaa..?
 
Wahaya wametoka wap mkuu

Kwenye Uzi wa moshi?
Nimetoa mfano tu wa wanawake wa kichaga walivyo na uchumi mkubwa ktk maendeleo ya mkoa wetu kulinganisha na nyie kwa kuwatoa mfano
Ukiachia mbali wanawake wa kihaya ambao ni wasomi,wengine hawana mchango wowote kiuchumi kwa mkoa huo zaidi ya kuwa wapiga umbea na majungu
 
Yaap ndio maana watu huwaita wachaga waisreli kwavile Wana akili nyingi na ubunifu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…