Moshi Nimewakubali!! David Mosha shtuka!.

Moshi Nimewakubali!! David Mosha shtuka!.

Huwa wanafuata nini huko?wakati huwa wanasema Chadema ni chama cha Kaskazini?
 
kweli naye huyo kusoma hajui wala picha haoni, kwa iyo anategemea ataingoa chadema moshi mjini.
 
Kuna mtu ananiambia Mosha ameanza kushtuka analalamika kuwa wagombea udiwani wa moshi wanatumia hela zake kufanya kampeni na kila anapoenda anatakiwa afunguke ila akipita baadhi ya maeneo anazomewa sasa hiyo hela yake mbona haoni effect yake, maana amezomewa soko la memorial na stand kuu ya mabasi.
 
Ccm moshi wamechanganyikiwa jana wamefanya mkutano pasua sokoni ulikuwa wa kawaida leo mgombea wa chadema kafanya mkutano umejaa haijawahi kutokea sasa wamechanganyikiwa na wametangaza kurudia mkutano wao kesho tena hapo hapo walipofanya jana
 
kweli naye huyo kusoma hajui wala picha haoni, kwa iyo anategemea ataingoa chadema moshi mjini.

Tatizo ni system!! watu wanataka hela...
si anazo? na agawe tu, afu baadae aisome number!!
 
Achana na vijana wa Moshi, ile pesa wanayolipwa na Mosha ndiyo wananunulia vocha ya kusambaza habari za UKAWA.
 
Mnashinda mitandaoni kusema uongo wenzenu wanashinda kuomba Kura pole sana Sisi tuna chagua Mosha Hapa Moshi tumechoka ubabaishaji
Hahaha Tangu lini umekuwa mkazi wa Moshi Mkuu....???
Unaijua Moshi vizuri kweli wewe...???
Mosha kuchukua Jimbo la Moshi mjini sahauni kabisaaaaaaaa yani futeni hiyo mambo kwenye vichwa vyenu,,
Kumbuka Moshi ndio mji pekee uliowai kuleta mageuzi tangu na tangu na ndio maana Moshi inavutia Moshi Bara bara nzuri maana hata fungu la serekali likitengwa kwaajili ya matengenezo ya bara bara huwa inatumika ipasavyo maana Pesa ya Moshi hailiki..
CCM haijawai kusaidia mji wa moshi kwa kitu chochote kile kwasababu Moshi miaka yooote huwapinga..
Mabadiliko unayoyaona sasa mchango mkubwa ulianzia Moshi..
Uliza uliza utaambiwa
 
Amejaribu kuingia na gia ya mshahara wake wa ubunge hata upokea badala yake atauelekeza jimboni kwake. Lakini wapi!
 
Davis katenga 1biln, moshi zitafunen ziishe kura kwa jaffary tuuh
 
Ila kung'oa mabango ya upinzani ni upuuzi...
 
Back
Top Bottom