crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,860
- 2,957
Bado hueleweki
Umeelewa na umeshajistukia na sasa unataka kuanzisha gemu ya kidali poo na mimi.
Bado hueleweki
Umeelewa na umeshajistukia na sasa unataka kuanzisha gemu ya kidali poo na mimi.
Umeelewa na umeshajistukia na sasa unataka kuanzisha gemu ya kidali poo na mimi.
Kumbe ndio type hiyo? Hapa siyo fb
Le mutuz aka kubwa jinga yopoo??
hii style ni ya kipekee sana!!
huyu Bwana Mosha anaweza kuwa Bankrupt kabisa baada ya Uchaguzi.
Mwenyewe anajiita 'akili kubwa'
Kwa kweli Yahaya ana kazi.Imebidi anunue nyumba fasta baada ya kuulizwa anaishi wapi! Hata hivyo haikumsaidia sana kwani aliulizwa tena umejiandikisha wapi kupiga kura! Davis Mosha aka Yahaya amejiandikisha Dar na sasa anahaha kuhamisha taarifa zake