thunderstorm
Member
- Jul 16, 2015
- 43
- 3
Hata magufuli alisema ..jamani msiseme mchana ndio usiku hapana...nikajua kashisoma number
Namba nimeisoma. Mbona nikipiga hampokei?
Hata magufuli alisema ..jamani msiseme mchana ndio usiku hapana...nikajua kashisoma number
Moshi ni sheeda, jana nilikuwa huko wanasema kwa moshi upinzani ni kati ya ukawa na TLP, ccm haipo
Ahaaaaaa ccm kwa heri tukutande mbinguni
ni noma magunia kwa magunia aiseeNasikia jamaa anahusika na mambo ya powders!!
Hehehe eti yahaya hahaha
Wewe David Elia mbona unamponda wajina wako? , jamani bwashee!! ni hicho amekukosea jamani?Yahya....wanamoshi hawamtambui!!!!