Moshi Nimewakubali!! David Mosha shtuka!.

Moshi Nimewakubali!! David Mosha shtuka!.

Mnashinda mitandaoni kusema uongo wenzenu wanashinda kuomba Kura pole sana Sisi tuna chagua Mosha Hapa Moshi tumechoka ubabaishaji

Ninachokiandika, ndicho kinachoendelea...
kama uko moshi shuhudia hapa.
 
Mimi siyo type hiyo.. ujinga wa kusema Mungu ni mshabiki wa chama fulani acha. Kuwa mjinga sometimes kwa sisi binadamu ni kawaida. Kwa hili na wewe ulikuwa mjinga, acha.

Naona umepotea njia,angalia huku jf lupango ni njenje siyo kama fb
 
Umesema ukweli mtupu.
Ile kauli ya KULA CCM KULALA CHADEMA inatekelezwa kwa vitendo.
Mbunge mtarajiwa,Jaffari Michael anasema vijana wasitoe mabango ya Mosha ili achangie mapato ya manispaa.

Umenikumbusha Karatu, watu walikuwa wanashangilia ushindi wa Chadema huku wamevaa sare za ccm 2010
 
Ccm wanavaa magamba yao lkn moyoni ni cdm/ukawa

Hao walikuwa Chadema ambao wameelimika maana waliambiwa wasiogope kuvaa sare za bure au kuchukua mtonyo wakipewa ila kura na kadi ni za Chadema.
 
Kampeni zinazopigwa hapa spesheli na za aina yake.
Kwanza mabango ya Chadema (UKAWA) yakiwekwa yanaondolewa ndani ya dakika chache...
Sababu ni nzuri kabisa.

David Mosha anatumia nguvu na pesa ambazo kwa kweli zimepata watumiaji...
Hapa Moshi bwana Mosha kaurejesha wimbo wa Yahaya ulioimbwa na Lady Jaydee kwenye chat, ndiyo wimbo hapa...

Ni ngumu sana CCM kushinda ubunge Moshi mjini.
Hawa vijana wanaotoa bango ya Chadema ni wanazi wa chadema completely...wanafanya hivi kupiga hela zaidi za CCM!!
Mchana wako CCM kupiga hela ikifika jioni ni kampeni kali kwa upande wachadema, so ni kama deal flani hivi yakipekee...
Vijana wanaendesha kampeni za Ukawa kwa pesa ya CCM.
Wenyewe hawashtuki.

unawaharibia vijana ulaji wewe!
 
Back
Top Bottom