Moshi Nimewakubali!! David Mosha shtuka!.

Moshi Nimewakubali!! David Mosha shtuka!.

Apeleke bhangi zake huko.....labda angegombea mtama....hat a mtama wajanja siku hizi!!! teh teh
 
Yahya....wanamoshi hawamtambui!!!!

Yahya ni moja ya watu mburula nchini wanaoamini kwamba pesa ni kila kitu hapa duniani, anasahau vitu Kama Organisation, networking, na goodwill ndio mpango mzima then unaaply fedha kukamilisha lengo, no Wonder Yahaya atashindwa vibaya sana.
 
Moshi ni mji wa wajanja....hawatoitoi madaraka ovyo...ila pesa zako ukitoa watukula, Kupewa kura sahau. Hiyo hata KINANA wa CCM anajua...
 
Back
Top Bottom