Moshi Masama: Shule ya kiislam na mashamba ya wazungu yadaiwa kuuziwa maji ya wananchi, wananchi hawana maji kwa miaka 8

Non sense!

Mfanyabiashara ana haki ya kumuuzia mteja amtakaye.

Iombe serikali yako ikuletee maji.
Huna akili mkuu

Tangu lini idara ya maji imejikita kwenye biashara za upendeleo na kutafuta wateja awatakao yeye (Iyo idara ni mtaji wake )

Wewe utakuwa shabiki wa simba alio sema rage
 
Back
Top Bottom