Moshi ipo kama nilivyoiacha

Mleta mada una ishu gani huko Nairobi kiasi cha kutokurudi kwenu kwa muda wa miaka mitano?!

Tueleze tatizo lililokufanya usirudi kwenu for 5 years ni nini?
 
Tumeshajua unaishi nairobi haya sikuku njema

Kuna mwenzake naye mchaga pia toka huko moshi anaishi Uganda, anafanya kazi huko na kaolewa huko. Alikuwa anahojiwa TBC1 jana kuhusu uganda na tanzania, aliiponda Tz na kuitukuza Uganda kuwa Watanzania wavivu, utadhani wapo holiday kila siku, hawapigi hatua ktk maendeleo. Akaulizwa kama yeye ni mganda au Mtanzania, asema ni Mganda-Mtanzania. Lakini anajisikia fakhari zaidi kuitwa Mganda.
Kwa hiyo nawashauri mkishaenda nje mnakoona kuzuri zaidi, endeleeni kukaa hukohuko kwa nini mnarudirudi na kuja kutukebehi?????
 

Umemjibu vizuri Toxic9 big up. Hivi anategemea nani amjengee moshi wkt mwaka mzima wachaga hawapo kwao wanarudi christmas pekee. Wanataka watu kutoka Mbeya au Morogoro waje kuwajengea??? Mmxxyuuuuuuuuuuuuuuuu
 
NAMPONGEZA AFISA MIPANGO MIJI WA MOSHI KWA KUANZISHA MIJI MIDOGO MIDOGO KAMA BOMA NA HIMO imepunguza watu kukimbilia MOSHI MJINI nenda kwenye hii miji midogo watu wamejitahidi huduma za benk maji umeme zipo TOFAUTI NA MIKOA MINGNE MJI NI MMOJA TU MABADILIKO YANAKUWA KILA SIKU KWA KUWA WANAKIMBILIA MJINI WENGI NA HAKUNA MIJI MIDOGO
 

Huyu Mtumwa na Mkimbizi eti ameshaangalia anasema haikui. Ulimuuliza swali zuri sana kwamba, wakati anaikimbia moshi alimwachia nani kazi ya kuiendeleza ndo amuulize. Vinginevyo asitufanye tukamtukana bure sisi maana anakera
 

Nimefanya kazi bonite nimetumia njia ya Pasua sana uko reli ilipo pita hadi uko boma mbuzi pako choka mbaya sana ulipo wewe uko
 
Nimefanya kazi bonite nimetumia njia ya Pasua sana uko reli ilipo pita hadi uko boma mbuzi pako choka mbaya sana ulipo wewe uko

nimepakumbuka matindigani pale stend ya vihiace kuanzia bingo, shule ya mandela, chalinze, mshana bar soko la pasua n.k
 
mleta mada una ishu gani huko nairobi kiasi cha kutokurudi kwenu kwa muda wa miaka mitano?!

Tueleze tatizo lililokufanya usirudi kwenu for 5 years ni nini?

majukumu mkuu nipo nafanya biashara ..
 

kama moshi ikiwa jiji na mtwara nayo iwe jiji moshi pameanzia changamka YWMCA had soko la kat mwsho wa magorofa huko mbuyuni tope tupu msimu wa mvua pananuka MOSHI HUNIPOTEZ WALA KUNIDANGANYA KILA KONA ya ule mji
 
 
 
nimepakumbuka matindigani pale stend ya vihiace kuanzia bingo, shule ya mandela, chalinze, mshana bar soko la pasua n.k

Ndio Mkuu Utobokea Chekereni hadi TPS uko yani changamoto ninyingi bado sana ndugu tufanyeni mabadiliiko
 
Naunga mkono hoja kiwatengu, achana na kucompare city centre za miji. Twende kwa comparison ya vijiji hakuna vijiji vilivyojengwa Na kujengeka kama vijiji Vya hawa watu wa moshi Tanzania nzima. Haya huko Nairobee ulipotoka vijiji vyake choka mbaya hata manzese kunaafadhali.
 
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana

Hahaaa 1819s unachekesha sana!
Ulitaka Moshi pawe kama nairobi?!
Sasa ungeona tofauti yeyote kweli?!
Jifunze kupakubali kwenu hata kama hapako kama huko ughaibini unapoishi kwa sasa!
Pia ukishaweza kujitegemea rudi nyumbani kujenga nchi maana nnakisoma kama bado ni denti vile!!
 
Last edited by a moderator:
Moshi ya wachagga haina upumbavu kama wq kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…