Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Status
Not open for further replies.
Ndiyo mwisho wa NCCR..mageuzi huu sasa wabunge wake wote watakwenda ACT..
 
ACT si wanapinga CHADEMA kwa ukanda ooh ukabila, mbona sasa ACT kitakuwa ni zaidi ya ukabila? Kigoma line dah.... IKiwa hivyo ndivyo itabidi msikiunganishe tena CHADEMA na ukanda na ZKZ atakuwa amedhihirisha kilicho mtoa CHADEMA...
 
Wadau, taarifa za hivi punde kutoka kwa watu walio karibu na mh. Moses Machali zinabainisha kuwa mbunge huyo wa kasulu mjini atahamia chama cha ACT mapema baada ya bunge kuvunjwa. Mbunge wa muhambwe ndugu Mkosamali anaelezwa kufuata msitari huohuo huku Kafulila wa kigoma kusini akiwa hajachukua maamuzi kamili (dilema). Inaelezwa kuwa Machali anadai kuwa hawezi kuendelea kuwa ndani ya vyama vinavyoongozwa na watu wa mikoa mingine wakati kuna chama kinaongozwa na mtu wa nyumbani. Tusubiri muda utasema, nawasilisha.

Raha ya uji ukinyws utilise bakuli xaxa yeye anatikisa kiuno
 
Wadau, taarifa za hivi punde kutoka kwa watu walio karibu na mh. Moses Machali zinabainisha kuwa mbunge huyo wa kasulu mjini atahamia chama cha ACT mapema baada ya bunge kuvunjwa. Mbunge wa muhambwe ndugu Mkosamali anaelezwa kufuata msitari huohuo huku Kafulila wa kigoma kusini akiwa hajachukua maamuzi kamili (dilema). Inaelezwa kuwa Machali anadai kuwa hawezi kuendelea kuwa ndani ya vyama vinavyoongozwa na watu wa mikoa mingine wakati kuna chama kinaongozwa na mtu wa nyumbani. Tusubiri muda utasema, nawasilisha.

Mtu wa nyumbani ni yupi? Zitto na machali wametoka sehemu moja?? Kigoma nayo kubwa hujui. Leta hoja Sio longo longo tu humu..
 
Nitaamini kama mwenyewe Machaki aje atie NIA ya kuahamia ACT-Wazalendo,vinginevyo huu utakuwa UMBEA...
 
kwa taarifa za uhakika ni kwamba kipindi cha kampeni zzk atahakikisha anafanya mikutano ya kuwanadi wagombea wa ACT jimbo kwajimbo,kata kwa kata,,,.
mkoa wa kigoma wote,ikiwa ni nafas ya upendeleo kwa mkoa wake kigoma
 
Watu wa kigoma ni wa hovyo, tofauti na wa arusha au wa mara. Wamekaa kinafiki sana. Tutaanzisha awareness kwa watanzania kutokuwaamini wana kigoma katika sekta yoyote! Watanzania wenzangu tuwapuuze hawa hawajaanza leo kuwa mamluki na wanafiki!
 
binafsi napenda dogo machali.nawaapa akuenda act basi kifo cha siasa kikoanji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom