Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Moses Machali amtaka Zitto kuwa na nidhamu

Status
Not open for further replies.
zitto ni mzito, hamnazo yule, na misifa itamuua. Je kuna watu mnakumbuka kiwa alisema anaacha siasa na anaenda kufundisha chuo kikuu kigoma ?? yako wapi mzto wewe???

Mkuu, kwa sisi tunaofuatilia mambo tunajua kuwa hiyo ilikuwa zuga tu. Jamaa anapenda sifa sana. Na hiyo ya kubadili majimbo ni muendelezo wa misifa ili eti kufikia rekodi ya akina Mrema na Hussein Mwinyi kuongoza majimbo mawili tofauti. Sema tu watu wa ACT hawamjui, Zito ni zaidi ya joka lenye makengeza!
 
Machali wewe ni mbunge wa jimbo langu, lakini ukweli ni kwamba uwezo wako ni mdogo sana, na wananchi wa Kasulu mjini tulikupa kura kama njia mojawapo ya kuiadhibu CCM baada MAGAMBA kumuengua Mwl. Bunyaga aliyekua na nvuto wa hali ya juu kwa wananchi na kumpitisha yule mhuni Nneka Raphael Nneka.
Hukua na mvuto wowote ule, hata hoja za msingi bungeni hauna, kazi kufoka foka tu bungeni na kudandia hoja za wengine. Kasulu mjini umeleta maendeleo gani Machali? yaani umezidiwa na mbunge wa darasa la saba Zaituni Buyogera yeye kaweka Sheri Kasulu mjini (Mholeza Petrol Station).
Machali jipange, tena ujipange kweli kweli. Kasulu kuna vijana wa ACT na CHADEMA wako vizuri kwa kujenga hoja na sio kufokafoka kama ufanyavyo wewe. Nakuapia mwaka huu hautarudi bungeni.
Kwa mkoa wa kigoma tuna wabunge watatu tu vilaza; kuna Obama wa BUHIGWE, Buyogera wa Kasulu vijijini na wewe Machali wa Kasulu mjini.

Machali achana na Zitto, Zitto sio level yako. Kaa kimya tu, ukifanya hivyo tutakuheshim.

Mwaka huu sio rahis kwako kurudi bungeni. Kauli yangu hii izingatie, utaniambia, time will tell.

Narudia tena, achana na Zitto (RUYAGWA). Zitto is the best.

We msukule, unajua kwa nini JK hakupiga kampeni jimbo la zitto?
 
Nafikiri Zito anapaswa kutambua kuwa chama hakijengwi kwa maneno,ni kwa kueneza sera na kuwashawishi wananchi kujiunga na hicho chama.

Vyama vimetumia muda mrefu sana kijijenga,lakini ACT inaamini ndani ya mwaka mmoja kinaweza kuwa na wabunge wengi na kuchukua nafasi ya Uraisi.

Kuchukua wabunge kutoka vyama vingine sio lazima kwamba watashinda tena.Wabunge wengine walishinda kwa sababu ya majina ya vyama vyao,sio wao binafsi.
 
Msimpe Hyatolah umaarufu ambao hana kwa kumjadilijadili kila siku,acheni wafu wazike wafu wao,hicho chama kitakufa natural death
 
We msukule, unajua kwa nini JK hakupiga kampeni jimbo la zitto?


Mkuu hujaacha tu ile tabia yako ya kunya barabarani?! Wenzio akili iko kichwani, we akili iko sehem ya kunyea. Utakoma mwaka huu.
 
Sijui hapa kuna nini maana nguvu kubwa ya ukawa inaelekeza kwa ZZK wamesahau lengo la UKAWA ni kupambana na CCM sio ZZK. Kweli UKAWA wamevurugwa.
 
Mkuu hujaacha tu ile tabia yako ya kunya barabarani?! Wenzio akili iko kichwani, we akili iko sehem ya kunyea. Utakoma mwaka huu.

Tatizo ambalo ninaliona kwa Zito ni kwamba ana kiburi, hawezi kusema wabunge wahamie kwenye chama chake kana kwamba yeye ndiye aliye na watu. Zito anapaswa kuheshimu wengine na asidhani ana akili kuliko watu wote, Kiburi ni dhambi iliyojificha sana lakini madhara yake ni kuvuna aibu.

Ushauri wa bure ZZK heshimu watu hata kama unafikiri una uwezo kuliko wao , kama uliwahi kutoa msaada kwa mtu usitumie kama fimbo ya kumchapa, usifanye maigizo , acha hila mheshimu Mungu.
 
UKAWA wengi vichwa maji wamesahau kuhusu CCM sasa wana pambana na mtu makini Zitto kabwe..

CCM itatawala milele..

Angalizo lilikuwa zuri umeharibu kutuambia kuwa mtu wako ni mtu makini. Angekuwa makini asingeangukia pua na kumfikisha alipo sasa hivi.
 
Wadau, taarifa za hivi punde kutoka kwa watu walio karibu na mh. Moses Machali zinabainisha kuwa mbunge huyo wa kasulu mjini atahamia chama cha ACT mapema baada ya bunge kuvunjwa. Mbunge wa muhambwe ndugu Mkosamali anaelezwa kufuata msitari huohuo huku Kafulila wa kigoma kusini akiwa hajachukua maamuzi kamili (dilema). Inaelezwa kuwa Machali anadai kuwa hawezi kuendelea kuwa ndani ya vyama vinavyoongozwa na watu wa mikoa mingine wakati kuna chama kinaongozwa na mtu wa nyumbani. Tusubiri muda utasema, nawasilisha.
 
Kigoma kuna watu wa kumbiakimbia tu na ndo maana wanaishia kufukuzwa. Sijawahi ona mtu wa Kigoma kasimamia kitu mwanzo mwisho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom