Morogoro: Wanaume wafupi kuandamana

Morogoro: Wanaume wafupi kuandamana

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
Wanaume wafupi mkoani Morogoro wapanga kuandamana kudai haki ya wao kupendwa na wanawake maana imeonekana kundi hili linaongoza kwa kudharauliwa hasa na jinsia ya kike.

Mwenyekiti wa kamati ya maandamano bw. Said Juma mkazi wa Nane Nane mkoani Morogoro amedai dharau zimezdi sana sasa wamechoka na wameamua kuandamana ,wakiwa na lengo la kuisisitiza jamii kutowadharau kwa ufupi walionao.

Hii imekuja baada ya jamaa mmoja anayeitwa Dulla Shortii, dereva boda boda maarufu xana mkoani hapa kushushiwa kashfa za kutosha na binti mmoja, maneno hayo ya dharau na kejeli yalimfanya Dulla kujiona kama mtu asiye na thamani na haki ya kupenda duniani "kaone kwanza haka kambilikimo hivyo unadhani me ntakupeleka wapi hvi wewe wakuishi na mtu kama mimi pumbavu wewe" hayo ni baadhi ya maneno ya kashfa aliyopewa Dulla Shortii kutokana na hili basi watu wafupi wameona wafanye maandamano ya amani kupinga vitendo vya dhalau dhidi yao.

Nawasilisha

source Planet fm morogoro
 
Mweee msiwatenge waluguru jamani ndio asili yao hio ufupi
 
eeeeh!! mbona wanapendeka tu wao hawajiamini af watafute mahela hakuna demu atayewakata hapendwi mtu bila mahela.
 
Kwani ufupi wao unaathiri kwenye mapenzi? Au via navyo vinakuwa shorty?
 
Uzuri wa wanawake Moro wamejaaliwa makalio makubwa
 
Na maandamano ya wanene yanakuja - nchi hii nzuri kweli kwa maandamano. Watu wala hatuendi kufanya kazi ni maandamano kwa kwenda mbele mpaka kieleweke.
 
Na maandamano ya wanene yanakuja - nchi hii nzuri kweli kwa maandamano. Watu wala hatuendi kufanya kazi ni maandamano kwa kwenda mbele mpaka kieleweke.

Mkuu mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwa na nafasi hiyo uliyonayo,usifikiri kuwa wale wasiobahatika kuwa kama ulivyo wewe ni wazembe!!
 
safi kabisa, waandamane hadi kwa mkuu wa mkoa wapewe vinyago warefuke,
sisi matolu tutaandamana tumechoka kuinama tunapoingia kwenye nyumba au maofisini.....
(mimi ni tolu hashimu thabit kasingiziwa.
 
wasiwasahau watani zetu wapare...(thithi thithi ndio baba zao na mama zao)
 
Tatizo hao watu ni wakorofi na pia wanagubu kupitiliza sababu kila wakati wanaona wanadharauliwa kwa ufupi wao
 
wanaume wafupi mkoani morogoro wapanga kuandamana kudai haki ya wao kupendwa na wanawake maana imeonekana kundi hili linaongoza kwa kuzalauliwa hasa na jinsia ya kike mwenyekiti wa kamati ya maandamano bw said juma mkazi wa nane nane mkoani morogoro amedai dhalau zimezdi sana sasa wamechoka na wameamua kuandamana ,wakiwa na lengo la kuisisitiza jamii kutowazalau kwa ufupi walionao, hii imekuja baada ya jamaa mmja anayeitwa dulla shortii deleva boda boda maarufu xana mkoani hapa kushushiwa kashfa za kutosha na binti mmja, maneno hayo ya dharau na kejeli yalimfanya dulla kujiona kama mtu asiye na thamani na haki ya kupenda duniani "kaone kwanza haka kambilikimo hivyo unadhani me ntakupeleka wapi hvi wewe wakuishi na mtu kama mimi pumbavu wewe" hayo ni baadhi ya maneno ya kashfa aliyopewa dulla shortii kutokana na hili baasi watu wafupi wameona wafanye maandamano ya amani kupinga vitendo vya dhalau dhidi yao, nawasilisha

source Planet fm morogoro

mambo mteso ya redio one!
 
Nchi hii tutaona mengi ni vema Ccm iachie madaraka haraka.
Hata Asiye nacho anaona wazi watu amechoka.
 
ni nchi pekee duniani ambayo watu wake wenye akili timamu wanaokota makopo majalalani
 
This is very "humiliating"!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
397601_10151235497516553_1157306041_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom