Morogoro: Wanaume wafupi kuandamana

Morogoro: Wanaume wafupi kuandamana

inatia huruma xana sijui siku hyo itakuaje maana naskia itakuwa valentine day
 
mi ni bingwa wa kuyakagua vp unataka kunipa tender nikufuate PM?


Hapa nakuachia wewe mwenyewe kwani mimi siwashughulikii wanaume wenzangu. Haujasikia Uingereza wase.nge wana dili kuanzia jana? Pitisha harambee tukuchangie uende ukapakuliwe na wazungu.
 
.... kweli, wengi wanaume Morogoro wafupiiii na weusiiiiii..... shida tupu....!!
 
nawashauri wakati wanaandamana wawe"NUDE" ili watu wajionee wenyewe jinsi walijaaliwa. itasaidia kuongeza kupendwa.

Japokuwa ni kitu cha kusikitisha, ila ndugu yangu hapa umetuvunja mbavu aisee......
 
Well said. Hiyo taarifa kamili

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
avatar63361_4.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom