wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 491
- 763
Takribani saa 6:40 majira ya jioni mkoani Arusha na Manyara limepita tetemeko la ardhi.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika maeneo yao ( majumbani) wameshuhudia ardhi ikitetema kama mayele Kwa takribani sekunde Moja hivi.
Na wengine wakibaki na maswali wakitaka kujua Chanzo Cha tetemeko hilo. Wengine wakisema labda mlima wa volcano wa oldonyo lengai uliopo ngorongoro unafanya majaribio na wengine wakisema labda ndani ya bonde la ufa la ukanda wa kaskazini Kuna mambo yanafanyiwa majarmajaribio.
Na wengine wakilihusisha na ujio wa mvua za elinino zilizotabiriwa kunyesha miezi ijayo.
Je, mamlaka husika Zinasemaje kuhusu tukio hili???