Morogoro: Seleman Msindi (Afande Sele) ajiunga na CCM

Morogoro: Seleman Msindi (Afande Sele) ajiunga na CCM

Huyo alitaka fursa tu ya kushikana mikono na rais ili apige naye picha kisha akawatishie/kuwalingishia na watu wa kijijini kwao kuwa yeye ni matawi ya juu hadi Rais anamjua
 
Naomba kukuuliza maswali machache madogo rahisi kabisa,

Tofauti ya ACT na CCM ni ipi?

Na kati ya Afande Sele, Anna Mghwira na Profesa Kitila Mkumbo ni yupi na yupi hapa zilikuwa ni Asset za ACT?

Kweli sasa naamini hii nchi inaongozwa na Washamba,
Source: Zitto Kabwe.

FB_IMG_1520761516022.jpg
 
View attachment 715519
Wamepewa madaraka makubwa
 
Ni ktk uzinduzi wa kiwanda cha sigara mbele ya rais., live tbc toka kingolwira.
 
sawa kila la kheri kwake as long as katiba inamruhusu!
 
Sio story hata mi nilikua namwambia mara kibao ye CCM anajitia hana chama.
 
Back
Top Bottom