Morogoro: Seleman Msindi (Afande Sele) ajiunga na CCM

Morogoro: Seleman Msindi (Afande Sele) ajiunga na CCM

Aisee
Naona zk kabaki mwenyewe
combinenga3.jpg
 
Afande sele ameona hali imekuwa ngumu baada yakufukuzwa na ndugu zake kweny nyumba aliokuwa anaishi ya urithi....sasa kaona aende kutafta ugali Ccm .
 
Afande alijichanganya sana kuhama cdm. Alishakuwa kwenye platform nzuri kabla hata ya kina prof j,Sugu.Na alikuwa na influence sana moro. Sasaivi keshapotea kaona arudishe tu mpira kwa kipa
 
Pamoja nakuunga kwangu mkono Serikali, CCM sasa mmegeuka kokoro, mnazoa hata uchafu mkiwa mnavua, sasa huyu ni asset au liability, alaf hili tukio si ni lakiserikali au nimeona vibaya? Na kama ndivyo hayo mashati ya CCM ya kazi gan tena hapo jamaniii
 
Ina maana hiyo sio mikutano ya serikali, ni mikutano ya chama tawala.. Amewapiga marufuku wapinzani wasifanye siasa, akitumia polisi, risasi na magereza huku yeye anapita kufanya mikutano ambayo inatakiwa kuwa ya serikali, kuwa ni ya chama tawala na kuwapokea wanachama toka vyama vya upinzani.. Na mijitu inaona sawa na kutetea kabisa upuuzi na ujinga huu..

Very sad aiseee.. Hata pale tuliposogea kidogo, huyu amekuja na kuturudisha nyuma zaidi ya hata kule tulipoanzia siku tuliopata uhuru..
 
Haki yake. Apewe nafasi ya kugombea ubunge hapo moro
 
kila kitu ukishindwa matokeo yake ndio haya akwende huko nyambaaf
 
Back
Top Bottom