Morogoro: Seleman Msindi (Afande Sele) ajiunga na CCM

Morogoro: Seleman Msindi (Afande Sele) ajiunga na CCM

Afande kaangalia fursa,umli umeenda,mziki haumlipi ,bora asubiri ubunge
 
mibange tu, si lolote si chochote, hata huko ACT alikohama sidhan kama amewaachia pengo, mchumia tumbo tu, si alitaka ubunge kupitia ACT akashindwa ?

Gigy alimwambia hizo rasta zina chawa akazinyoe.
 
Fursa lazima zichangamkiwe, watoto wa mjini wanajua hili..
 
Mbele ya Rais Magufuli, Msanii maarufu wa Hip Hop na aliyekuwa mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo Seleman Msindi, amejiunga na Chama cha Mapinduzi. Kasema Tanzania hakuna mbadala ya CCM. Aomba chama kimpokee.

Ni leo katika uzinduzi wa kiwanda cha Sigara mkoani Morogoro.

"Nampongeza sana ndugu Sele (Afande Sele), mimi napenda nyimbo zake hasa ule wimbo wa Morogoro anasimama barabarani alafu anakuwa anapiga miguu hivi polepole, nampongeza kwa kuamua kurudi Chama cha Mapinduzi, ameamua vizuri" amesema Rais Magufuli

Afande Sele ni jembe!

Video

Habari zaidi, soma=>
- Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT
- Afande Sele: ACT Wazalendo sikielewi kama ni malaika au shetani?
- Baada ya kusema hakielewi ACT Wazalendo, Afande Sele aibukia kwenye mkutano wa Makamu wa Rais
- Afande Sele katangaza kujivua uanachama wa ACT Wazalendo rasmi

Hivi ziara ya JPM ni ya kiserikali au ya ki CCM?
Je ni nani wanaoendeleza na kuendekeza siasa sasa hivi wakati huu wa kufanya "maendeleo"?
Kwa nini hao wanaotaka hivi sasa iwe hapa kazi tu, nao hawangoji mpaka 2020?
Wengine hata wakivaa sare za CDM tu, au wakienda kuhani wanakamatwa kwa kufanya siasa. Au ndio kujiona "wajanja"?
 
Muache Afande Sele aunge Tela la MAZUZU alikuwa ameshaanza kuonesha dalili za uzuzu! Huku kwengine kuna watu wenye IQ kubwa, kusema ukweli km una IQ ndogo hauwezi kufiti hata kidogo!
 
Me nkuwa natakaa kuskiliza ilee nyimbo ya selee ya morogoro anayoimbaa barabarani anapigaa miguu chinii mwenye nayoo anisaidiee. Itakuwa kalii mpakaa baba anaipendaa
 
Mbele ya Rais Magufuli, Msanii maarufu wa Hip Hop na aliyekuwa mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo Seleman Msindi, amejiunga na Chama cha Mapinduzi. Kasema Tanzania hakuna mbadala ya CCM. Aomba chama kimpokee.

Ni leo katika uzinduzi wa kiwanda cha Sigara mkoani Morogoro.

"Nampongeza sana ndugu Sele (Afande Sele), mimi napenda nyimbo zake hasa ule wimbo wa Morogoro anasimama barabarani alafu anakuwa anapiga miguu hivi polepole, nampongeza kwa kuamua kurudi Chama cha Mapinduzi, ameamua vizuri" amesema Rais Magufuli

Afande Sele ni jembe!

Video

Habari zaidi, soma=>
- Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT
- Afande Sele: ACT Wazalendo sikielewi kama ni malaika au shetani?
- Baada ya kusema hakielewi ACT Wazalendo, Afande Sele aibukia kwenye mkutano wa Makamu wa Rais
- Afande Sele katangaza kujivua uanachama wa ACT Wazalendo rasmi

Mwanaume akikosa msimamo hana tofauti na Msi ...... ..anayetafuta m..... wa kumuoa
 
Back
Top Bottom