Morogoro: Seleman Msindi (Afande Sele) ajiunga na CCM

Morogoro: Seleman Msindi (Afande Sele) ajiunga na CCM

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,569
Reaction score
16,032
sele2.jpg

Mbele ya Rais Magufuli, Msanii maarufu wa Hip Hop na aliyekuwa mwanachama wa chama cha ACT-Wazalendo Seleman Msindi, amejiunga na Chama cha Mapinduzi. Kasema Tanzania hakuna mbadala ya CCM. Aomba chama kimpokee.

Ni leo katika uzinduzi wa kiwanda cha Sigara mkoani Morogoro.

"Nampongeza sana ndugu Sele (Afande Sele), mimi napenda nyimbo zake hasa ule wimbo wa Morogoro anasimama barabarani alafu anakuwa anapiga miguu hivi polepole, nampongeza kwa kuamua kurudi Chama cha Mapinduzi, ameamua vizuri" amesema Rais Magufuli

Afande Sele ni jembe!

Video



Habari zaidi, soma=>
- Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT
- Afande Sele: ACT Wazalendo sikielewi kama ni malaika au shetani?
- Baada ya kusema hakielewi ACT Wazalendo, Afande Sele aibukia kwenye mkutano wa Makamu wa Rais
- Afande Sele katangaza kujivua uanachama wa ACT Wazalendo rasmi
 
Sasa Afande mbona anatafuta kiki kwenye uzinduzi wa kiwanda cha fegi? Au anataka wakimaliza shughuli wampe pakti moja akavute?
 
Amefuata mavyeo, mavyeo bado mengi kwa wapinzani ccm wamebaki macho kodo
 
Back
Top Bottom