Morogoro ni kama imerogwa

Hiyo ya kusomesha watoto private nimepapenda aisee.
 
Wewe sasa ndo umeeleza vizuri yaani ni mji mzuri kwa kuishi na sio biashara. Ni kama ilvyo dar ni mji wenye pesa nyingi ni mzuri na hauwezi linganisha na sehenu yoyote ile Tanzania kwenye suala la biashara na maendeleo ila kwa kuishi hauna sifa kuzidi mikoa mingi mfano Moshi, Mwanza, Moro, Mbeya na mingineyo.
 
Watu hujenga na kupanua miji kutokana na incentives za aina mbalimbali na huwa hawajengi tu kwa sababu wana fedha. Jiji kama Dar pamoja na kuwa na joto na mbu linapanuka kwa sababu watu wanavutiwa na ''faida'' ya kuishi hapo.
Sio joto na mbu tu, na kunuka pia.
 
Ukiona hivyo hakuna pesa hapo na mzunguko ni mdogo, na watu sio wapambanaji mji ukikaa kiswahili sana maendeleo huwa ni kazi sana, kitu kingine miji iliyokaribu na Dar haina maendeleo.
 
Kitu pekee kilichobadilika ni stendi ya Msamvu, hotel ya Shabiby na ile ghorofa mpya pale round about Msamvu
 
Unachosema ni kweli. Wewe angalia aina ya madiwani na wabunge wao.
 
Kuna siku nilimuibukia mke wangu mcharuko mbesile mponda pale Moro karibu na stendi.
Njaa inauma aloo kusogea jirani kuna ubwabwa maharage.
Sijawai tena kuona ule mzigo.
Alikua waarabu wale.
Nilipiga sahani 2 fasta.
Na nikala aboood kurudi home.
Mbesile yupo anasema niende tena Moro.
Ndugu zangu hizo kumbukumbu miaka ya 94.
Huyo Mbesile atakuwa kaolewa, ila tunavyopendana mpaka basi.
Kuna siku anapigwa viboko na mamaake mdogo nakaona
 
We unasema Moro Kuna mjinunaitwa Isaka kwenye media na serikali NI unatamkwa sana mji wa kimkakati bandari kavu aisee usiombe ujichanganye hapo...
 
Kweli kabisa moshi ipo karibu sana kuzidiwa na kahama manispaa nipo hapa. Na nadhani tyr ishapitwa.
Usichojua, MOSHI haibadiliki mjini....toka miaka ya 1995 Iko vile, vile.
MOSHI imeendelea vijijini au nje ya MJI.

Moshi au Kilimanjaro sio mkoa mkoa uliojengeka mjini bali vijijini.
 
Acha uongo morogoro ya sasa iko vzr sana ,
 
Usichojua, MOSHI haibadiliki mjini....toka miaka ya 1995 Iko vile, vile.
MOSHI imeendelea vijijini au nje ya MJI.

Moshi au Kilimanjaro sio mkoa mkoa uliojengeka mjini bali vijijini.
ukisema MOSHI direct unazungumzia mji huko kijijini sisi panatuhusuje?

Kama haibadiriki toka 1995 basi imekufa kifo cha mende hata katoro itaipita kama imesimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…