haha
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 1,400
- 1,628
BangiiiiiiiiiSasa hilo ni tatizo LA malezi
BangiiiiiiiiiSasa hilo ni tatizo LA malezi
Naunga mkono hojaHayo yote yanatokea kwa sababu mzazi alishindwa kuweka mazingira ya kuheshimiwa na watoto.
Kunamalezi mengine yanafanya mtoto akuchukulie poa tu na ndio hatma ya haya mambo
sawaaa mkuu, usiombe ukutane na misukosuko ya watoto watukutuHata avute bangi ya jamaika sijafikia hatua ya kupigwa na mtoto. Km hyo bangi tumeivuta sn enzi hizo na mdingi unamkwepa hata asijue coz displini ilkua mbele. Dingi anakunywa lakini hawezi rudi nyumbani anapepesuka na yuko ontime saa mbili kashafika home olewako uje baada yake ndio utajua dunia inazunguka jua.
unaweza mlea mtoto katika malezi bora na bado akakengeuka tu...tuna mifano mingi tu huku mtaani ya wazazi waliojifanya wenyewe ndio wanajua kulea katika malezi bora mwisho wa siku tunawaona watoto wao wanapoishia...Sio kweli kama mtoto anabadilika, mtoto anakua kulingana na malezi
Mimi nadhani 2030, bongo itakua kama Europe.Alikuwa amelewa nini? Huyo mshua naye rojo. Mwanangu atakula bakora hata kama ana miaka 30
Huo Umri Mwongoza Njia, Shujaa, wa Clouds Alizikwa Huku Wakisema Kijana MdogoHuyo mdingi bila shaka alikua mlevi wa pombe kali haiwezekani ana 47 halafu akapigwa kizembe na dogo wa mwenye 17 kama askari wa kihindi.
huyo dingi wako alikuwa ni mnoko.Hata avute bangi ya jamaika sijafikia hatua ya kupigwa na mtoto. Km hyo bangi tumeivuta sn enzi hizo na mdingi unamkwepa hata asijue coz displini ilkua mbele. Dingi anakunywa lakini hawezi rudi nyumbani anapepesuka na yuko ontime saa mbili kashafika home olewako uje baada yake ndio utajua dunia inazunguka jua.
Nakubaliana na wewe, wapo watoto watukutu sn lakini mpk hatua ya mtoto kupanchi ngumi na mzazi ni hatua mbaya sana hiyo. Nmeona sana baadhi ya wazazi ambao huwa wanapigwa na mtoto na hata kupigwa na mke lakini haya yote kunamazingira yanachochea hiyo hali. Mfano kutotimiza majukumu, ulevi uliopita kiasi n.kunaweza mlea mtoto katika malezi bora na bado akakengeuka tu...tuna mifano mingi tu huku mtaani ya wazazi waliojifanya wenyewe ndo wanajua kulea katika malezi bora mwisho wa siku tunawaona watoto wao wanapoishia...so we mkuu lea wanao katika malezi bora but usisahau kuomba mungu amsimamie mwanao,ukijifanya we ndo unajua kulea katika malezi bora na kuwaona wote waliopotea hawakulelewa katika malezi bora kitakachoweza tokea kwa wanao na uhakika kitakubadilisha tu mtazamo
Nikiwa mtoto nilimuonaga dingi mnoko sana lakini na mimi mlivyokuwa nikawa na watoto nilikuja kumuelewa, hivi mtoto ambaye hafiki hata miaka 15 anakujia home saa tatu usiku bila sababu ya msingi hivi unamuelewa kweli.
😂😂😂😂😂😂😂 Inawezekana piaUtakuta dingi kamchukulia demu wake dogo maana wote ni mayanki.
kisa dogo kamdedisha mzee wakeHalafu wanasema tuandamane ya Floyd wakati maandamano yapo hapa hapa kwetu