Morogoro: Kijana mwenye umri wa miaka 17 amuua baba yake kwa kumpiga ngumi

Mkuu inategemea mtoto ni mbegu aina gani..unaweza ukakuta mtoto ana 17 amejengeka umbo na misuli...kupambana nae ni sawa na kujifungia na chatu chumbani....kinachokupa moyo MZAZI ni vile ulimlea huyo mtoto tangu mdogo unaona kama hawezi Kukufanya chochote.. Mkuu mtoto wa kupiga ni wa kike,,,,mtoto wa KIUME utajitafutia matatizo...
Huyo baba alikuwa amelewa au ?
 
Mtoto yoyote ni wa kupiga labda akishafikia utu uzima hapo ndiyo unaondoa fimbo.

Mtoto wa miaka 17 hawezi kumpiga mtu mzima wa 47 years let's be serious huyo mzazi kifo kimepangwa tu.

Ila kusema mzazi atazidiwa na mtoto wa miaka 17 si kweli mimi nina vijana wana 16 - 18 wakileta mchezo huwa nawatandika sana tu.

Mzazi unajilegeza kwa mtoto ?
 
Hivi mkuu hujawahi kuona mtoto wa miaka 15 anavaa suruali kiuno 32 kama MTU mzima? na baba MZAZI anavaa nguo za size za watoto? kutokana na umbile lake Dogo? So inategemea na umbile la mtoto,

Mimi mwanangu ana miaka 21 lakini tukisimama yeye ni Mrefu kuliko Mimi, amejaa maungo sawa na mimi,ni vile tu nafanya MAZOEZI, ila nimeacha kupiga tangu ana 16 nilianza kupata hofu fulani, huwa naongea nae kirafiki tu na ananielewa sana tu.

Pia elewa watoto wa siku hizi sio kama wa zamani, MZAZI wa zamani anaweza akataka kumtolea mtoto radhi anavua nguo, mtoto anaomba samahani, watoto wa sasa ukitaka kuvua nguo umpe radhi atakwambiya vua nguo zako nikuonyeshe, sasa anatala kukufanya nini?

Watoto wa sasa ni kuongea nao zaidi, unapaswa uwe nao karibu tangu utoto, atakuelewa tu. Kitendo cha kumpiga piga ndiyo siku unakutana na NAKOZ kama wasemavyo mabaharia. Mtoto wa kupiga makofi muda wote ni mtoto wa kike.

Mkuu kuna jirani yangu Fulani alikuwa na kawaida ya kujifungia mlango akimpiga mwanae wa miaka 18, huku MKEWE akiwa kamfungia mlango kwa nje, siku moja walikaa kama dk 15 ndani mzee anampiga tu mtoto, kilichofuata yule mzee alipiga KELELE afunguliwe MLANGO haraka, baada ya Yule MKEWE kufunguwa MLANGO, yule mzee alianza kutoka kwanza mbio huku akielekea jikoni kufata PANGA.

Yule mama akafunga MLANGO kwa nje mzee asiingie mtoto mle chumbani, huku mtoto akisikika akisema MWACHE AJE NA PANGA LAKE. DUU, wakaja majirani pamoja na mimi tukampokonya PANGA mzee, ila mzee alikuwa ametokwa na vichwa viwili, maana yake alikuwa na nundu kubwa UPANDE wa juu wa jicho, ukimuangalia kwa UPANDE ni kama ana vichwa viwili, huenda ikawa ni NAKOZ kutoka kwa mwanae yule, tangu siku hiyo yule mzee akikasirika anamtuma MKEWE aongee na mwanae.... mambo ya kupiga watoto wa above 17 ... Utakuja toka nishai..
Mtoto yoyote ni wa kupiga labda akishafikia utu uzima hapo ndiyo unaondoa fimbo.

Mtoto wa miaka 17 hawezi kumpiga mtu mzima wa 47 years let's be serious huyo mzazi kifo kimepangwa tu.

Ila kusema mzazi atazidiwa na mtoto wa miaka 17 si kweli mimi nina vijana wana 16 - 18 wakileta mchezo huwa nawatandika sana tu.

Mzazi unajilegeza kwa mtoto ?
 
Hivi mkuu hujawahi kuona mtoto wa miaka 15 anavaa suruali kiuno 32 kama MTU mzima?na baba MZAZI anavaa nguo za size za watoto?kutokana na umbile lake Dogo? So inategemea na umbile la mtoto,,,Mimi mwanangu ana miaka 21 lakini tukisimama yeye ni Mrefu kuliko Mimi,,,amejaa maungo sawa na mm,,ni vile tu nafanya MAZOEZI,,ila nimeacha kupiga tangu ana 16 nilianza kupata hofu fulani,,,,huwa naongea nae kirafiki tu....na ananielewa sn tu...pia elewa watoto wa siku hizi sio kama wa zamani,,,MZAZI wa zamani anaweza akataka kumtolea mtoto radhi anavua nguo,,,mtoto anaomba samahani,,,watoto wa sasa ukitaka kuvua nguo umpe radhi atakwambiya vua nguo zako nikuonyeshe,,,sasa anatala kukufanya nn?watoto wa sasa ninkuongea nao zaidi.....unapaswa uwenao karibu tangu utoto,,atakuelewa tu..kitendo cha kumpiga piga ndy siku unakutana na NAKOZ kama wasemavyo mabaharia..mtoto wa kupiga makofi muda wote ni mtoto wa kike ...mkuu kuna jirani yangu Fulani alikuwa na kawaida ya kujifungia mlango akimpiga mwanae wa miaka 18,.huku MKEWE akiwa kamfungia mlango kwa nje..siku moja walikaa kama dk 15 ndani mzee anampiga tu mtoto,,,kilichofuata yule mzee alipiga KELELE afunguliwe MLANGO haraka,,,baada ya Yule MKEWE kufunguwa MLANGO,,yule mzee alianza kutoka kwnza mbio huku akielekea jikoni kufata PANGA..yule mama akafunga MLANGO kwa nje mzee asiingie mtoto mle chumbani ,,huku mtoto akisikika akisema MWACHE AJE NA PANGA LAKE....DUU..,,wakaja majirani pamoja na mm tukampokonya PANGA mzee,,ila mzee alikuwa ametokwa na vichwa viwili,,maana yake alikuwa na nundu kubwa UPANDE wa juu wa jicho,,,ukimuangalia kwa UPANDE ni kama ana vichwa viwili...,,huenda ikawa ni NAKOZ kutoka kwa mwanae yule,, tangu siku hyo yule mzee akikasirika anamtuma MKEWE aongee na mwanae....mambo ya kupiga watoto wa above 17 ... Utakuja toka nishai..
Mwanao ana miaka 21 huyu ni mtu mzima na hastahili kupigwa na mzazi huyo

Huyu mwingine ana miaka 17 ina maana ni mtoto wa form 3 hata kama ana umbo kubwa kiasi gani huyu hawezi kuwa threat kwa mzazi.

Hivi wewe unataka kusema mtoto wa miaka 17 anaweza kuwa threat kwako? be realistic mkuu.

Ningekuelewa kama huyo mtoto katumia silaha kupambana na baba yake au kamvizia akampiga akamuumiza at once lakini in a fight mtu mwenye 47 years hawezi kuwa overwhelmed na mtoto wa miaka 17 unless awe mgonjwa.

Nimesema pale juu kifo ni kifo tu na kama kimepangwa kutokea kwa njia fulani hakuna wa kukizuia.
 
Nimekwambiya nimeacha kumpiga akiwa na 16 ....now ana 21 ila ananielewa kwa MANENO tu....hivi mtoto wa miaka 17 unaona ni mvulana mdogo? labda mtoto wako ni zile mbegu FUPI...lakini mtoto wa miaka 17 ni mkubwa na mimba anaweka,,,na hayo mawazo kama yako ndy yamemfanya hyo mzee kufikia umauti...kufikiria miaka 17 ni mtoto,,bila kukumbuka watoto Wanakua,,watoto siku hizi boxer pia WANAKWENDA...Sasa mfate na KITAMBI CHAKO UONE...wachana na piga piga za watoto..
 
Kwa mauaji haya ya watoto kuuwa baba zao inapidi tupige kweli mazoezi ili siku akizingua unampa kipigo cha mbwa koko
 
Miaka kumi na saba hata raha za dunia hajaziona zote,hata kukaa kwake hajaaanza,anaingia jela mtoto anatoka mwaka 2070 kwa msamaha wa raisi,tayari kawa mzee hana ramani yeyote,halafu anakufa anaenda motoni,kabla ya kuvuta bangi kapime kwanza kama akili yako inaweza kumudu ganja
 
Nimekwambiya nimeacha kumpiga akiwa na 16 ....now ana 21 ila ananielewa kwa MANENO tu....hivi mtoto wa miaka 17 unaona ni mvulana mdogo? labda mtoto wako ni zile mbegu FUPI...lakini mtoto wa miaka 17 ni mkubwa na mimba anaweka,,,na hayo mawazo kama yako ndy yamemfanya hyo mzee kufikia umauti...kufikiria miaka 17 ni mtoto,,bila kukumbuka watoto Wanakua,,watoto siku hizi boxer pia WANAKWENDA...Sasa mfate na KITAMBI CHAKO UONE...wachana na piga piga za watoto..
Mbona shuleni wanachapwa ?
 
Shule anachapwa bakora zinazohesabika...tena na fimbo,,na sio mateke ,,na vibao...siku moja mwalimu ajaribu kupiga mwanafunzi kwa mateke na ngumi...halafu uniletee marejesho...
Mbona shuleni wanachapwa ?
 
Back
Top Bottom