ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Yale Yale ya Marekani
Corona inaisha sasa tunauana kinyama
Corona inaisha sasa tunauana kinyama
Labda kama sharobaro ila kama mbavu Nene, nunda au mwamba geu kaa mbali alafu ukute kavurugwa haelewi aroo hapo lazima masikio yazidi kichwa!Alikuwa amelewa nini? Huyo mshua naye rojo. Mwanangu atakula bakora hata kama ana miaka 30
Kuna uhusiano gani kati ya umri na ngumi?Huyo mdingi bila shaka alikua mlevi wa pombe kali haiwezekani ana 47 halafu akapigwa kizembe na dogo wa mwenye 17 kama askari wa kihindi.
Usiombe yakukute! jitahidi kuwapa malezi bora watoto wako!Hata avute bangi ya jamaika sijafikia hatua ya kupigwa na mtoto. Km hyo bangi tumeivuta sn enzi hizo na mdingi unamkwepa hata asijue coz displini ilkua mbele. Dingi anakunywa lakini hawezi rudi nyumbani anapepesuka na yuko ontime saa mbili kashafika home olewako uje baada yake ndio utajua dunia inazunguka jua.
Ndio maana yake! Dingi kavuna alichopandaMtoto umleavyo ndivyo akuavyo, huenda alimlea vibaya.
Imefanyajee? Bunduki haiui mtu ila mtu anaua mtuMibangeeee....
Mtu mwenye umri wa miaka 47 hawezi kua mzee, labda kama mwili wake unamatatizo ya kiafya. Nakusudia kua kijana mwenye miaka 17 hata akipewa rungu hawezi kumpiga mtu mwenye miaka 47 except huyo mtu akiwa mlevi au ana matatizo ya kiafya.Kuna uhusiano gani kati ya umri na ngumi?
Hajatumia silaha mkuu ni ngumi tu!Labda alimvizia.
... kuangalia taarifa ya habari! Ni kweli kuna madingi yana sheria za kikoloni sana na akishaingia yeye grili zote zinafungwa hakuna mtu kuingia baada yake! Madogo wa familia dizaini hii wanapatwaga na msongo wa mawazo sana!Hata avute bangi ya jamaika sijafikia hatua ya kupigwa na mtoto. Km hyo bangi tumeivuta sn enzi hizo na mdingi unamkwepa hata asijue coz displini ilkua mbele. Dingi anakunywa lakini hawezi rudi nyumbani anapepesuka na yuko ontime saa mbili kashafika home olewako uje baada yake ndio utajua dunia inazunguka jua.
Mkuu umenifikurisha kidogo!Kamanda anaitwa MUTAFUNGWA, kijiji MANYANI,
DOGO HAPONI MITI YOTE ITATELEZA
... dogo anahitaji mtaji anunue japo mtumba wa bodaboda naye aanze maisha dingi hasomeki na masimango juu!Matukio haya yamekuwa mengi sana. Inawezekana akawa alikuwa anataka Mali au bange ilimchanga uyu dogo.
Dunia iko Kasi sana na huenda iko mwishoni kufika
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijua jina lake akatafuta kazi inayoendana naloMkuu umenifikurisha kidogo!
Wanaosema uwe makini linapokuja suala la kumchagulia mtoto jina, maana yake jina linaweza kuakisi maisha halisi ya mtoto positively ama negatively.
Kwanfano: Arsen Wenger na timu ya Arsenal ama yule hakimu mmoja anaitwa Huruma Shaidi!
Sasa na huyo Mutafungwa, yaani jina linaendana na mazingira ya kazi kabisa!
Umesema sahihi kabisa. Ila at some point, watoto wanabadilika hata kama wakiwa wamelelewa vizuri.Hayo yote yanatokea kwa sababu mzazi alishindwa kuweka mazingira ya kuheshimiwa na watoto.
Kunamalezi mengine yanafanya mtoto akuchukulie poa tu na ndio hatma ya haya mambo
... uko sahihi 100%. Kuna mzee mmoja jirani yangu ni profesa na mkewe pia profesa! Wako na watoto watano ila waliotoboa ni wawili tu; hao wengine wanasikitisha sana. Malezi ya utotoni super tena mfano bora wa kuigwa katika jamii ila walivyoingia vyuo vikuu sijui walipatwa na nini wale madogo saa hizi wanavuta bange tu.unaweza mlea mtoto katika malezi bora na bado akakengeuka tu...tuna mifano mingi tu huku mtaani ya wazazi waliojifanya wenyewe ndo wanajua kulea katika malezi bora mwisho wa siku tunawaona watoto wao wanapoishia...
so we mkuu lea wanao katika malezi bora but usisahau kuomba mungu amsimamie mwanao,ukijifanya we ndo unajua kulea katika malezi bora na kuwaona wote waliopotea hawakulelewa katika malezi bora kitakachoweza tokea kwa wanao na uhakika kitakubadilisha tu mtazamo
... kaka umri uliotaja hapo si ndio wengi kizazi hiki wanachakarika mtaani kwenye mabodaboda na bajaji wapige hela? Saa 3 si ndio muda wa pesa umechanganya? Labda kuanzia saa 6 sio saa 3.Nikiwa mtoto nilimuonaga dingi mnoko sana lakini namm mlivyokuwa nikawa na watoto nilikuja kumuelewa, hv mtoto ambaye hafiki hata miaka 15 anakujia home saa tatu usiku bila sababu ya msingi hivi unamuelewa kweli.
Unajua mtoto anaweza fanya uhuni wake vzuri tu ila katika ule muda wa kihalali(mchana) na ndio chance ya vijana wengi walio chini ya mzazi lakini ukiona mtoto mpk saa tatu ya usiku yuko mitaani tu Wala haogopi kuwa ni muda kurudi nyumbani ndio dharau zinaanzia hapo.
Alikuwa amelewa nini? Huyo mshua naye rojo. Mwanangu atakula bakora hata kama ana miaka 30