Morogoro: Kijana mwenye umri wa miaka 17 amuua baba yake kwa kumpiga ngumi

Hata avute bangi ya jamaika sijafikia hatua ya kupigwa na mtoto. Km hyo bangi tumeivuta sn enzi hizo na mdingi unamkwepa hata asijue coz displini ilkua mbele. Dingi anakunywa lakini hawezi rudi nyumbani anapepesuka na yuko ontime saa mbili kashafika home olewako uje baada yake ndio utajua dunia inazunguka jua.
sawaaa mkuu, usiombe ukutane na misukosuko ya watoto watukutu
 
Sio kweli kama mtoto anabadilika, mtoto anakua kulingana na malezi
unaweza mlea mtoto katika malezi bora na bado akakengeuka tu...tuna mifano mingi tu huku mtaani ya wazazi waliojifanya wenyewe ndio wanajua kulea katika malezi bora mwisho wa siku tunawaona watoto wao wanapoishia...

So we mkuu lea wanao katika malezi bora but usisahau kuomba mungu amsimamie mwanao, ukijifanya wewe ndio unajua kulea katika malezi bora na kuwaona wote waliopotea hawakulelewa katika malezi bora kitakachoweza tokea kwa wanao na uhakika kitakubadilisha tu mtazamo
 
Huyo mdingi bila shaka alikua mlevi wa pombe kali haiwezekani ana 47 halafu akapigwa kizembe na dogo wa mwenye 17 kama askari wa kihindi.
Huo Umri Mwongoza Njia, Shujaa, wa Clouds Alizikwa Huku Wakisema Kijana Mdogo
Hawezi Kupigwa Kienyeji Namna Hiyo
 
Hata avute bangi ya jamaika sijafikia hatua ya kupigwa na mtoto. Km hyo bangi tumeivuta sn enzi hizo na mdingi unamkwepa hata asijue coz displini ilkua mbele. Dingi anakunywa lakini hawezi rudi nyumbani anapepesuka na yuko ontime saa mbili kashafika home olewako uje baada yake ndio utajua dunia inazunguka jua.
huyo dingi wako alikuwa ni mnoko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaweza mlea mtoto katika malezi bora na bado akakengeuka tu...tuna mifano mingi tu huku mtaani ya wazazi waliojifanya wenyewe ndo wanajua kulea katika malezi bora mwisho wa siku tunawaona watoto wao wanapoishia...so we mkuu lea wanao katika malezi bora but usisahau kuomba mungu amsimamie mwanao,ukijifanya we ndo unajua kulea katika malezi bora na kuwaona wote waliopotea hawakulelewa katika malezi bora kitakachoweza tokea kwa wanao na uhakika kitakubadilisha tu mtazamo
Nakubaliana na wewe, wapo watoto watukutu sn lakini mpk hatua ya mtoto kupanchi ngumi na mzazi ni hatua mbaya sana hiyo. Nmeona sana baadhi ya wazazi ambao huwa wanapigwa na mtoto na hata kupigwa na mke lakini haya yote kunamazingira yanachochea hiyo hali. Mfano kutotimiza majukumu, ulevi uliopita kiasi n.k
 
huyo dingi wako alikuwa ni mnoko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa mtoto nilimuonaga dingi mnoko sana lakini na mimi mlivyokuwa nikawa na watoto nilikuja kumuelewa, hivi mtoto ambaye hafiki hata miaka 15 anakujia home saa tatu usiku bila sababu ya msingi hivi unamuelewa kweli.

Unajua mtoto anaweza fanya uhuni wake vizuri tu ila katika ule muda wa kihalali (mchana) na ndio chance ya vijana wengi walio chini ya mzazi lakini ukiona mtoto mpaka saa tatu ya usiku yuko mitaani tu Wala haogopi kuwa ni muda kurudi nyumbani ndio dharau zinaanzia hapo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom