Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

Mungu amlaze mahali pema peponi ndugu yetu ACHIMPOTA ni mwezi sasa toka tumemzika.
 
Moro
Yaani ukija DSM mitaa ya kiswahili zaidi kama manzese, kigogo, tandale,buguruni, mwananyamala, vingunguti, mchikichini n.k yaani wote asili ni Moro
Moro ndio inayoichangamsha DSM

Mkuu umeisahau chamwino c.h
Moro ni mkoa unaochangia 79% kwa watu wenye vipaji waishao dar
Wajanja wa Moro ni vigumu kuwatofautisha na wa DSM
Nenda DSM kuna chaukucha na gonga fc wa Moro kibao

Naishi DSM lakini Moro naielewa
Babu tale, mkubwa fela wote team Moro
Wachezaji mpira kibaoooo wamepitia Moro
Moro paache kama palivyo.
Bwawa la mindu safi tuuu kwani bei gani
Alafu Moro Kuna matajiri kibaaaaooo wamesevu vitu vyao pale
Moro watu wake wastaarabu
Mgeni unakaribishwa safi kabisa
 
aaahhggghh kitenga alikuwa nihabari nyingine ile mkuu
kasumbua sana ule mji ..mnamo miaka ya 95 hakuna ambaye aliykuwa hataki kuzijua habari zake ..baada ya miaka kadhaa ndio akaja kuibuka huyo ndanje ..ndanje familia yao yote naijua vyema ilikuwa inaishi karibu na idara ya Ujenzi karibu na garage moja maarufu wakati huo ilikuwa inaitwa SIA ..MAMA YAKE ALIKUWA NI MWALIMU alifahamika kwa jina La mwalimu mwisongo ..maskini mama huyu kizazi chake kilikuwa na bahati mbaya mnoo maana alikuwa na watoto wanne lakini kati yao watatu wote walikuwa ni majambazi najambazi mmoja wapo alikuwa ni mwanamke namtoto mmoja wa mwisho wa kiume ndiye aliyeamua kurithi taaluma yake
Aiseee kumbe nawe unaijua jua ile familia,kuna mtoto wa kiume Yule mkubwa simkumbuki vizuri jina lkn Huwa anafanyia Kwa Omary Awadhi ni kibarua wale wanaopakia mizigo and the like.Huyu jamaa baada ya kutoka kifungoni aliamua kuwa busy na kazi zake hakuwa na shida na Mtu,yupo mwingine Aziz (Alishafariki) huyu alikuwa na mguu wa kuchechemea nasikia alipigwa risasi na polisi.Huyu naye alipotoka gerezani alikuwa mwema tu lkn badaye kuna wamama wakaanza kumtumia kusupply ngada Kwa vijana wa mitaani Chamwino manzese,na mitaa ile yote.Badaye naye akawa teja Ila ameshafariki.

Yupo mtoto mwingine Mdada (Mwanaidi) huyu ni mlevi wa kutupwa Ila inaonekana zamani kidogo alikuwa mstaarabu.Ila ndivyo hivyo badaye kaja kuwa mlevi plus utapeli.
Yupo dada mwingine huyu kaolewa ni mpole mkimya Ila ni tapeli wa rejareja.
Wa mwisho Bob Rando huyu jamaa naona ndiyo yupo vizuri ni mwalimu kama mama yake.Nadhani anafundisha Dar
 
Moro
Yaani ukija DSM mitaa ya kiswahili zaidi kama manzese, kigogo, tandale,buguruni, mwananyamala, vingunguti, mchikichini n.k yaani wote asili ni Moro
Moro ndio inayoichangamsha DSM

Mkuu umeisahau chamwino c.h
Moro ni mkoa unaochangia 79% kwa watu wenye vipaji waishao dar
Wajanja wa Moro ni vigumu kuwatofautisha na wa DSM
Nenda DSM kuna chaukucha na gonga fc wa Moro kibao

Naishi DSM lakini Moro naielewa
Babu tale, mkubwa fela wote team Moro
Wachezaji mpira kibaoooo wamepitia Moro
Moro paache kama palivyo.
Bwawa la mindu safi tuuu kwani bei gani
Alafu Moro Kuna matajiri kibaaaaooo wamesevu vitu vyao pale
Moro watu wake wastaarabu
Mgeni unakaribishwa safi kabisa
Walugulu na wazaramo ni watoto wa babu mmoja.
 
Wale walikuwa mboga 7 Mzee alikufa mapema wkt wale wadogo hawana pakushika. Pia Mzee alijenga kwenye Kiwanja cha familia, na familia iliwatimua na mama yao. So watoto wakadata na wale wakubwa wakaamua kusaidia familia kwa njia hiyo waliochagua.
Wana nyumba yao ipo jirani na Ujenzi,mama yao baada ya kustaafu aliongeza mabanda nyuma akaweka wapangaji.Pia ile nyumba kubwa akaikarabati
 
Moro mmeipamba vya kutosha,Ni kweli ni mkoa mzuri sana na binafsi nimebahatika kuishi hapo kama miaka miwili hivi ila kuna mambo mawili naomba niwakosoe kidogo wenyeji wa mkoa huu.
1. Mkoa wa moro umejaa "majungu na umbea sana" hasa vijana? yan ukibahatika kukaa vijiwe vya watoto wa moro utashangaa maneno yanayoshushwa hapo.kazi yao kubwa ni "kusifia matajiri matajiri tu" hasa matajiri wa kiarabu....Utakuta mtu wa kijiwe A anamchambua tajiri fulani "kiundani" na kiuhakika yan mpaka wewe msikilizaji unajiuliza hivi huyu mzungumzaji ana undugu na huyo tajiri?hizi habari anazipata wapi? lakini pia habari zile ulizoziskia kijiwe A unaweza kukutana nazo kijiwe B na ukaziskia vilevile kama alivyohadithia wa kijiwe A.
2.Watu wa moro akitaja jina la mtu fulani analazimisha wewe mskilizaji umjue,au anamtaja huyo mtu kana kwamba wewe mskilizaji unamfahamu aliyetajwa? mfano unamuuliza mtu aisee hizi simu zinauzwa wapi? utaskia "nenda kwa dula zipo kibao tu".....yan kamaliza hapo,hakwambii "dula" gani na duka lake lipo mtaa gani.
3.Pia moro kumejaa matapeli sana yaani hii mpaka wazee....tatizo ni lilelile kupenda kitonga na uvivu.
4.Ndo mkoa pekee ambao ugonjwa wa typhod ndo nyumbani. yan hili lipo wazi kila mtu anajua na sababu hata hazijulikani kwanini ugonjwa huu ni rahisi sana kuupata ukiwa moro kuliko mkoa wowote ule tz.
5.Vijana wengi moro shule hawana....hili nalo ni shida.ukikuta kijana amesoma ujue mgeni huyo na si mkazi.
6."Mizinga"....daah yan hili ndo gonjwa la pili linalofuata baada ya typhod.Vijana wa moro mnapenda sana kuomba omba vihela vidogo vidogo...afu hawataki kuamini utakapomwambia "sina" yan atakuona mbaya sana....mnapenda sana mteremko vijana wa moro hebu badilikeni.
7.Moro Ni watu flani hv wanapenda sana kulalamika kuliko kutafuta solution.
8. Wakazi wa moro wanapenda sana kuongea lafudhi/sauti moja ya yenye mahadhi ya kiluguru.....cha ajabu "sauti" hii hata wasio waluguru nao wanafanya hivyo.hapa wengi mtanielewa....yan hii si watoto si wakubwa.
9.Abood ndiyo kampuni pekee ya mabasi inayokubalika na watu wa moro kuliko kampuni yeyote ya mabasi,japo hali hii inaanza kupungua kwa siku hizi za karibuni.Pia ukitaka uifahamu vizuri familia ya abood haina haja ya kwenda wikipedia,wewe mkamate mtu yeyote wa morogoro akuhadithie Abood ni nani?Utashushiwa nondo hapo mpk utatamani uzibe masikio.....ukweli,uongo,majungu vinamixiwa humohumo ili uchambue mwenyewe....

Yapo mengi ila kiufupi haya ndo yaliyonikera nilipokuwa moro.ila yote kwa yote Moro ni mkoa mzuri sana kuishi hasa unapokuwa na vyanzo vya pesa vya uhakika...ni pazuri sana kiukweli.
 
Hapo kwenye list ya kikosi cha Reli Moro mwongeze Mbui Yondani.Jamaa alikuwa hatari sana.Enzi hizo mpira tulisikilizia RTD.
ukoo wa kina Yondani wa Yanga huyu Kevin...
 
hahaaa mkuu wapazungumzia michumvini daaahh mti ulisimama baada yakuanguka watu walijazna kbao nakumbuka nilikuwa Mdogo aisee ..halima kihemba alikuja kufuatilia ile habari
nikweli mwalimu alikuwa anaishi area zile Zile ...daaahh sasa hvi pame badilika kbisaaaa
Chakabovu
 
Moro mmeipamba vya kutosha,Ni kweli ni mkoa mzuri sana na binafsi nimebahatika kuishi hapo kama miaka miwili hivi ila kuna mambo mawili naomba niwakosoe kidogo wenyeji wa mkoa huu.
1. Mkoa wa moro umejaa "majungu na umbea sana" hasa vijana? yan ukibahatika kukaa vijiwe vya watoto wa moro utashangaa maneno yanayoshushwa hapo.kazi yao kubwa ni "kusifia matajiri matajiri tu" hasa matajiri wa kiarabu....Utakuta mtu wa kijiwe A anamchambua tajiri fulani "kiundani" na kiuhakika yan mpaka wewe msikilizaji unajiuliza hivi huyu mzungumzaji ana undugu na huyo tajiri?hizi habari anazipata wapi? lakini pia habari zile ulizoziskia kijiwe A unaweza kukutana nazo kijiwe B na ukaziskia vilevile kama alivyohadithia wa kijiwe A.
2.Watu wa moro akitaja jina la mtu fulani analazimisha wewe mskilizaji umjue,au anamtaja huyo mtu kana kwamba wewe mskilizaji unamfahamu aliyetajwa? mfano unamuuliza mtu aisee hizi simu zinauzwa wapi? utaskia "nenda kwa dula zipo kibao tu".....yan kamaliza hapo,hakwambii "dula" gani na duka lake lipo mtaa gani.
3.Pia moro kumejaa matapeli sana yaani hii mpaka wazee....tatizo ni lilelile kupenda kitonga na uvivu.
4.Ndo mkoa pekee ambao ugonjwa wa typhod ndo nyumbani. yan hili lipo wazi kila mtu anajua na sababu hata hazijulikani kwanini ugonjwa huu ni rahisi sana kuupata ukiwa moro kuliko mkoa wowote ule tz.
5.Vijana wengi moro shule hawana....hili nalo ni shida.ukikuta kijana amesoma ujue mgeni huyo na si mkazi.
6.Moro Ni watu flani hv wanapenda sana kulalamika kuliko kutafuta solution.
7. Wakazi wa moro wanapenda sana kuongea lafudhi/sauti moja ya yenye mahadhi ya kiluguru.....cha ajabu "sauti" hii hata wasio waluguru nao wanafanya hivyo.hapa wengi mtanielewa....yan hii si watoto si wakubwa.
8.Abood ndiyo kampuni pekee ya mabasi inayokubalika na watu wa moro kuliko kampuni yeyote ya mabasi,japo hali hii inaanza kupungua kwa siku hizi za karibuni.Pia ukitaka uifahamu vizuri familia ya abood haina haja ya kwenda wikipedia,wewe mkate mtu yeyote wa morogoro akuhadithie Abood ni nani?Utashushiwa nondo hapo mpk utatamani uzibe masikio.....ukweli na uongo vinamixiwa humohumo ili uchambue mwenyewe....

Yapo mengi ila kiufupi haya ndo yaliyonikera nilipokuwa moro.ila yote kwa yote Moro ni mkoa mzuri sana kuishi hasa unapokuwa na vyanzo vya pesa vya uhakika...ni pazuri sana kiukweli.
Safi

Moro ndio home
 
Moro kamji fulani kazuri kweli haswa hali ya hewa...

Miaka ya nyuma ulikuwa mji mdogo na watu wachache, ukiishi maeneo ya Kihonda waonekana kama waishi nje ya mji...
 
Back
Top Bottom