Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

Ila Moro mlitisha sana ...nikiwa Arusha enzi hizo late 80s kuna mjanja mmoja alikuwa anajiita Speed Mnyamwezi ( watu disko Arusha na mitaa ya Fire enzi hizo mtakuwa mnamjua)..alikuwa anasafiri kuja Moro kuruka majoka! Hatari sana ....cc John Dilinga Matlou ...
 
Kudadeki kuna kabar kanasumbua sana ck za wikiend kanaitwa KING TOM, wazee wa kichangani tupooo kwa wapenda vigodoro
 
Nilijua unakuja na updates mpya ya viwanja vyetu vile. Hako kamji nikiwaga nastress nakujaga kuziondolea huko hasa pale wanaita samakisamaki au nyumbani park..hatari sana unaweza piga 3some bila kupenda
Kule Mo Town zamani For Stars nako kupo poa tu,Pale Downtown Pako poa lkn kuna muda panapoza sana
 
Mji huu umejaa wahindi naa waarabu ndo maana hauendelei! watu wanapiga hela kwenye barabara za mjini zinajengwa kila siku hazidumu, kila kona ni ma ccm tu yamejaa. Uchafu umezagaa labda siku hizi kidogo, barabara nyingi zimejaa mashimo kila mwaka mto kikundi unapumua maji yake mtaani hakuna suluhisho.
Japokuwa mji ukipangwa na kujengwa vizuri unaweza kuwa kama New York kutokana na mandhari yake lakini kutokana na wenyeji wake wa kikuguru na ushamba wao wakiuita ujanja huu mji hauwezi kuendelea. Tujifunze hata kamji ka Iringa kalivyo pazuri.
Serikali ipanue mji wa Morogoro kwa kuwanyang'anya SUA na Mzinga na Mzumbe ili watu wajenge majumba tena wapime viwanja vipya wakiwanyang'anya au kuwapunguzia taasisi hizo maeneo.
Moro ni mji wenye Pori.Rejea mashamba ya mkonge na Mapori ya Sua
 
Back
Top Bottom