Morogoro Enzi Hizo: Hii ndio Morogoro bwana!

Nani anamkumbuka Rolling stone? Jamaa mwizi anayejua kingereza cha hatari msafiii, vitu kwake being cheee, soski, mafuta na nk. Na kifo chake je? Ilikiwa gumzo mjini.
 
KITENGA alikuwa sio wa mchezo, nasikia alikamatwa na wamasai baada ya kuiba ng'ombe Melela. Walipiga sana mapanga lakini hakufa, hadi walipotoa hirizi mwilini mwake, pia nasikia polisi walimburuza gari.
aaahhggghh kitenga alikuwa nihabari nyingine ile mkuu
kasumbua sana ule mji ..mnamo miaka ya 95 hakuna ambaye aliykuwa hataki kuzijua habari zake ..baada ya miaka kadhaa ndio akaja kuibuka huyo ndanje ..ndanje familia yao yote naijua vyema ilikuwa inaishi karibu na idara ya Ujenzi karibu na garage moja maarufu wakati huo ilikuwa inaitwa SIA ..MAMA YAKE ALIKUWA NI MWALIMU alifahamika kwa jina La mwalimu mwisongo ..maskini mama huyu kizazi chake kilikuwa na bahati mbaya mnoo maana alikuwa na watoto wanne lakini kati yao watatu wote walikuwa ni majambazi najambazi mmoja wapo alikuwa ni mwanamke namtoto mmoja wa mwisho wa kiume ndiye aliyeamua kurithi taaluma yake
 
Baba yao anaitwa Mzee makupa, alikuwa anafanya ujenzi, pia alikuwa mganga wa Dawa za asili.Bunduki ilikuwa ya Mzee wao sababu alikuwa muindaji.
 
duuhhh hapo sasa umenimaliza ..nilikuwa simjui Huyo MZEE makupa
lakini kwanini familia ile ilikuwa na tabia mbaya na hatarishi kiasi Kile..??
 
hahaaa asante mkuu
hiyo issue ya DSTV access umenikumbusha mbali mnooo ..mambo ya Mnet free ..supersport .sky sport bureee ..daaahh ilikuwa raha mnoo .kwakuwa nilikuwa Mdogo nilikuwa navutiwa na cartoon network...
dah moro kipindi hicho ilikua hot yaan Mnet ilikua full movie baba super sport mieleka...akina undertaker dar kuna jamaa kanikumbusha jambazi sugu kuna jambazi lilikamatwa pale stendi kuu asubuhi likiwa linapanda abood lilikua na dem watu walishitukia wakatoa taarifa kwa polisi si ndo wakalivamia dah ...zilipigwa lisasi jamaa walikuja kuliua soko kuu huku yule dem katokomea na askari mmoja alikufa.Bosi wa moro united Balaboo mbio za magari dah. Mabasi kipindi hicho yalikua sadiq,abood king of the road na islam.Baba kipindi cha mvua udongo mwekundu ww piga kiwi ila ukitoka tu utafurahi...
 
Kama kweli nyie ni wahenga wa moro ebu nambieni stand ya kwenda matombo ,mkuyuni ,pangawe ,kiloka ilikuwa wapi na ilo eneo linaitwaje?.miaka ya 88 mbaka 90.
 
hearly inabidi uwe unatuamkia sisi wakubwa zako sawa eenhh Ndanje akikamwatwa stand ya daladala pale zamani ilikuwa ndiyo stand asbuh kwenye basi LA Sadiq akienda Dar.
dah jamaa alisumbuaga moro huyo yaan walivomuua watu walipumua nasikia yule ndo alikua bosi wa majambazi pale moro
 
Wavivu sana, wanapenda vigodoro,

Sema tu washukuru LAPF mfuko wa pension wamewajengea stand ya kisasa
 
Kama kweli nyie ni wahenga wa moro ebu nambieni stand ya kwenda matombo ,mkuyuni ,pangawe ,kiloka ilikuwa wapi na ilo eneo linaitwaje?.miaka ya 88 mbaka 90.
baba stendi ilikua pale halmashauli ya mkoa au karibu na maktaba ya mkoa km nimekosea niambie
 
duuhhh hapo sasa umenimaliza ..nilikuwa simjui Huyo MZEE makupa
lakini kwanini familia ile ilikuwa na tabia mbaya na hatarishi kiasi Kile..??

Wale walikuwa mboga 7 Mzee alikufa mapema wkt wale wadogo hawana pakushika. Pia Mzee alijenga kwenye Kiwanja cha familia, na familia iliwatimua na mama yao. So watoto wakadata na wale wakubwa wakaamua kusaidia familia kwa njia hiyo waliochagua.
 
dah moro kipindi hicho ilikua hot yaan Mnet ilikua full movie baba super sport mieleka...akina undertaker dar kuna jamaa kanikumbusha jambazi sugu kuna jambazi lilikamatwa pale stendi kuu asubuhi likiwa linapanda abood lilikua na dem watu walishitukia wakatoa taarifa kwa polisi si ndo wakalivamia dah ...zilipigwa lisasi jamaa walikuja kuliua soko kuu huku yule dem katokomea na askari mmoja alikufa.Bosi wa moro united Balaboo mbio za magari dah. Mabasi kipindi hicho yalikua sadiq,abood king of the road na islam.Baba kipindi cha mvua udongo mwekundu ww piga kiwi ila ukitoka tu utafurahi...
hahaaa
piga kiwi lakini ukitoka utafurahi ..hahaaa
sasa wakaumbuka Kile kipindi cha picnic ..vipi kuhusu Yale mabomu ya mungu mmoja teehhh enzi hizo mkuu wa police SADAMU ..ikifika msimu wa baridi kuamka kwenda shule watafakuri..baridi lamaana ukiongea mdomo watoa moshi..
huku milima ya nawiri na kuzidi kuvutia kwaajili ya uoto wa asili maji yanatiririka milimani tena waiona vizuri kabisa water falls hats ukiwa nyumbani kwenu. .
 
Wale walikuwa mboga 7 Mzee alikufa mapema wkt wale wadogo hawana pakushika. Pia Mzee alijenga kwenye Kiwanja cha familia, na familia iliwatimua na mama yao. So watoto wakadata na wale wakubwa wakaamua kusaidia familia kwa njia hiyo waliochagua.
aiiseeee kumbe ndio namna ilivyokuwa. ..mungu atusaidie tusije kurejea kutenda makosa kama aliyotenda Huyo MZEE ..
mungu ailaze roho yake pema pia
 
Namimi hii hapa, niliishi Moro mwaka 1993/4, Eneo la Mazimbo, kipindi hicho ni Poli tu kuanzia Mazimbu Kanisa Katoliki hadi Daraja la treni Tinge tinge karibu na Kambi ya Wakimbizi ya Mazimbu. Asubuhi Lukobe Shamba, kulima mpunga, jioni kumwagilia bustani za babu pembezoni mwa mto Ngerengere. Nilijifunza kulima miwa, choroko na kuvua Dagaa uduvi. Tukiamka mimi na dada zangu ni kwenda Kupanga foleni ndani ya Kambi za wakimbizi wa South Africa kuchukua mbao za kuni za kupikia nyumbani. Wakati mwingine wasimamizi wa Wakimbizi (UNHR), utufungulia Makontena tuchukue nguo na viatu, tukifika nyumbani tunauza. Mjini kati Moro kwenda mpaka sikukuu, Sisi tulikua wapori pori tu uko Mazimbu.
 
Back
Top Bottom