Moors: Watu weusi waliotawala Ulaya na kugeuza wazungu watumwa...

Mimi ninaweza kukuletea hapa vitabu zaidi ya 10 vikubwa vinavyowahusu Moors vilivyoandikiwa na wazungu wa Ulaya.
Wewe umepitia syllabus zote za nchi za Ulaya ukajua Historia ya Moors haipo?
Mkuu najua wewe ni mnazi wa west tutabishana Bure tu, ila huwezi kuskip historia ambayo imetokea miaka Mia 4 mfululizo,

Yaani ni kama Tanzania tuskip kabisa historia ya ukoloni as if hauku exist halafu utoe sababu nyepesi kabisa kwamba huwezi fundishwa historia yote.

Mambo ya Moors ama Ottoman ni aibu kwa Nchi nyingi za ulaya wanaificha chini ya kapeti.
 
Huwezi kufundishwa au kusoma kila kitu kenye syllabus ya darasani, huwezi kuwekewa vitabu vyote katika syllabus. Katika Historia ni machache sana utayapata darasani, mengi unayapata kwa jitihada za kujisomea mwenyewe kibinafsi. Hiyo sio lazima imaanishe kwamba ambayo hukusoma darasani yamefichwa.
Unachanganya sana mambo chief. Huwezi soma yote darasani, ni kweli. Hoja hapa ni kuwa nini kinachofundishwa kwenye mainstream education. Mtazamo wa historia umepindishwa maeneo mengi. Mfano, ukisoma Historia rasmi ya Mapunduzi ya Zanzibar, ni 'utumbo mtupu', hapo suala sio vitabu, suala nini kile wanaotoa elimu wanataka wapokeaji, waielewe historia.
 
Huyo ni diehard slave wa Wazungu na Westerners...ndo wale waliopewa Uhuru wakarudi utumwani...

Yeye kazi yake kutafuta faults Kwa weusi wenzake only ...bado anaona wazungu ni "perfect"
 
Mfumo wa elimu wa Zanzibar au Tanzania hauwezi kuwa rejea au kulinganishwa na mfumo wa elimu Ulaya au Marekani. Marekani na Ulaya slavery inafundishwa katika madarasa ya wazungu na blacks na pia vitabu vya historia hiyo vimejaa madukani.
West pamoja na kwamba ni Wakristo kwa sehemu kubwa masomo na historia za dini nyingine zote kubwa na nyingi zinafundishwa katika kozi za Historia, Sociology na anthropology katika vyuo vyao vikuu.
Unachanganya sana mambo chief. Huwezi soma yote darasani, ni kweli. Hoja hapa ni kuwa nini kinachofundishwa kwenye mainstream education. Mtazamo wa historia umepindishwa maeneo mengi. Mfano, ukisoma Historia rasmi ya Mapunduzi ya Zanzibar, ni 'utumbo mtupu', hapo suala sio vitabu, suala nini kile wanaotoa elimu wanataka wapokeaji, waielewe historia.
 
Mimi ninaweza kukuletea hapa vitabu zaidi ya 10 vikubwa vinavyowahusu Moors vilivyoandikiwa na wazungu wa Ulaya.
Wewe umepitia syllabus zote za nchi za Ulaya ukajua Historia ya Moors haipo?
Sababu nimeshaona Hao wazungu wenyewe wakilalamika kwanini hawajafundishwa shule baada ya kujua ukweli ukubwani. Na kama inafundishwa mashuleni (na sio kozi za chuo ku opt) leta ushahidi hapa.
 
Mfumo wa elimu wa Zanzibar au Tanzania hauwezi kuwa rejea au kulinganishwa na mfumo wa elimu Ulaya au Marekani. Marekani na Ulaya slavery inafundishwa katika madarasa ya wazungu na blacks na pia vitabu vya historia hiyo vimejaa madukani.
West pamoja na kwamba ni Wakristo kwa sehemu kubwa masomo na historia za dini nyingine zote kubwa na nyingi zinafundishwa katika kozi za Historia, Sociology na anthropology katika vyuo vyao vikuu.
You dont get the point mkuu, kumfundisha mtu mweusi ama Mzungu slavery hii ni
1. Unampa Confidence mzungu kwamba yeye ni mtawala na mweusi mtawaliwa
2. Unamtoa Confidence mweusi kwamba maelfu na maelfu kazi yake ni kutawaliwa

Hapo ndo mazao ya hizo elimu unakuta mtu anasema bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko Binadamu Africa.

Ila utakapomfundisha mtoto mweusi babu yako Zamani alisafiri, ali conquer, alijenga majengo wakati wazungu wanaishi kwenye mapango utampa confidence ya kufikiri nje ya box.
 
Nyie mliokuja na hayo madai kwamba hiyo Historia imefichwa ndio mlipaswa kuja na ushahidi pia wa Syllabus kutoka hizo nchi za Ulaya za shule ya msingi, sekondari na vyuo hasa kwa hizo ncho zinazohusika na huko kutawaliwa kuonyesha hiyo Historia haipo katika mitaala yao.
Sababu nimeshaona Hao wazungu wenyewe wakilalamika kwanini hawajafundishwa shule baada ya kujua ukweli ukubwani. Na kama inafundishwa mashuleni (na sio kozi za chuo ku opt) leta ushahidi hapa.
 
Kwa hiyo sisi Waafrika hii Historia yetu ya kutawaliwa na wazungu tukiiondoa katika mitaala yetu isifundishwe shuleni na vyuoni itasaidia kuwapa na kuwajengea confidence ambao hawataisoma?!
You dont get the point mkuu, kumfundisha mtu mweusi ama Mzungu slavery hii ni
1. Unampa Confidence mzungu kwamba yeye ni mtawala na mweusi mtawaliwa
2. Unamtoa Confidence mweusi kwamba maelfu na maelfu kazi yake ni kutawaliwa

Hapo ndo mazao ya hizo elimu unakuta mtu anasema bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko Binadamu Africa.

Ila utakapomfundisha mtoto mweusi babu yako Zamani alisafiri, ali conquer, alijenga majengo wakati wazungu wanaishi kwenye mapango utampa confidence ya kufikiri nje ya box.
 
Historia inaweza ikafichwa na vile vile ikawa ipo kwenye vitabu, kifupi hivyo vitabu ni mpaka mtu akutonye kama The Boss alivyoleta mada hapa, ila huvikuti kwenye Sylabuss.

Mashuleni wanafunfisha historia wanayotaka wao na sio ukweli.
Historia hufundishwi kwa kulishwa na kulazimishwa, historia halisi unaisoma na kuitafuta mwenyewe. Ukiona jamii haina historia, haijawahi kujiandikia historia yake ujue hiyo jamii haina ustaarabu, hawana IQ kubwa na ni primitive.

Jamii zote serious duniani zilijiandikia historia zake. Tena kuna zilizopotea kama Wamisri wa kale hata lugha yao haijulikani ila wanahistoria wanasoma na kufanya chunguzi miaka nenda rudi na kujipatia PhDs za kutosha. Egyptologist wanasoma michoro, picha, tawala, matukio ya Misri miaka kama 7,000 kabla ya Yesu. Bado kuna Wachina, kuna Wajapan, kuna kina Genghis Khan, Wairan wale Persians wana historia ndefu, Amazonians, Mexicans kina Maya people na tamaduni zao za kula nyama za watu na kutoa kafara hadi leo hii wanaigiziwa movies kama Apocalypto. Jamii zote zenye historia hasa hakuna anayeificha.

Nyinyi Waafrika wengine mlipokuwa mnafichiwa historia mlikuwa wapi? Mbona huwezi sikia Mkorea analalamika alifichiwa historia? Hiyo historia mliyofichiwa ni ipi, almost jamii zote Afrika hawakuwa na herufi za kuandikia ukiachana na wachache kama Waethiopia na Wamisri. Sasa ambao hawakuwa na maandishi historia ya maelfu ya miaka walikuwa wanatunza wapi? Na iliyofichwa ni ipi maana iliyokuwepo hata haikuandikwa, walioificha walifunga midomo ya wenye nayo?

Kule South America nadhani ni Chile kuna michoro ya kale, kuna Aztec civilization hata kama watu wake wamepotea na lugha haijulikani ila kuna michoro, masanamu, mabaki ya majiji ya kale na vitu kama hivyo. Sisi Afrika vilivyopo kama pyramids tunaziona, kule Mali kuna Timbuktu tunaisoma. Aya kilichofichwa ni nini?

Kwanza hapo unaposema "mashuleni wanafundisha historia wanayotaka wao na sio ukweli" hao walimu wanaofundisha ni jamii gani na wanafunzi ni jamii gani. Hao wanaoficha historia wanapata manufaa gani.

Nimesoma historia ya kabila langu na kitabu chake ninacho hapa hapa ingawa kinakosekana baadhi ya pages nilikiiba kwa babu yangu naye aliniambia alikinunua njiani kwa mtu mmoja hana akili sawasawa. Historia kwenye kile kitabu inaanza walipokuja wakoloni, rejea za kitabu zinawaquote kina John Speke na someone sijui Major Steamer. Historia ya kabla ya wazungu ni miaka michache iliyokuwa recovered by word of mouth hivyo isingeweza kukumbukwa zaidi ya miaka mingi na ilikuwa na makadirio ya "misimu kama 20 au 30 ya mvua iliyopita, mfalme fulani alizaliwa" hivyo timeline sio halisi sana.
 
You dont get the point mkuu, kumfundisha mtu mweusi ama Mzungu slavery hii ni
1. Unampa Confidence mzungu kwamba yeye ni mtawala na mweusi mtawaliwa
2. Unamtoa Confidence mweusi kwamba maelfu na maelfu kazi yake ni kutawaliwa

Hapo ndo mazao ya hizo elimu unakuta mtu anasema bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko Binadamu Africa.

Ila utakapomfundisha mtoto mweusi babu yako Zamani alisafiri, ali conquer, alijenga majengo wakati wazungu wanaishi kwenye mapango utampa confidence ya kufikiri nje ya box.
Wewe unaleta hisia na huruma. Historia ni kama sheria, kilichotokea ndicho kinaandikwa utake usitake.

1. Marekani inaandika kwenye historia yake kwamba ilitawaliwa na Uingereza. Na Waingereza wanaandika walitawala Marekani.

2. Scotland na England zilipigana sana karne zilizopita kina Richard The Lionheart. Leo hii kisa zimeungana kuna UK hazifuti historia ya kupigana na kuuana na kuchongeshana kwa Wafaransa. Hazifuti ukweli zikasema tulikuwa tunapeana matunda.

3. Wewe unataka umfundishe mweusi kwamba babu yake aliconquer. Aliyafanya wapi?
Weusi kama 200 walikuwa wanachapwa viboko na Waarabu watano wenye gobole tatu, jambia na mijeredi tena na watawala weusi walikuwa wanawasaidia sometimes. Wanaswagwa kuanzia Kugoma mpaka Bagamoyo kisha Zanzibar soko la watumwa kisha kwenye meli kwenda plantations. Wewe unataka useme vinginevyo, kwamba walienda kutalii kwenye mashamba ya sukari ya Wafaransa?

Una tabia zilezile za Kiafrika zinazotufanya tuendelee kuwa jamii ya hivi tulivyo
 
We mwenyewe wale wale unani Accuse mimi naongea kwa hisia nitashusha data hapa unihangaishe wee ilihali wewe unabwabwaja tu maneno bila ushahidi

Nilileta kwa ushahidi na nishaongea sana Humu, kuna Vitabu hadi Marekani vinaelezea Utumwa Zanzibar na upo tofauti na Uliofundishwa wewe. Ukitaka nitaweka na majina na paragraph muhimu muhimu.

Mfano ninayotoa sana humu Masultan wa Zanzibar walikuwa weusi kibao, mfano ni Wa Ali bin Hamud Sultan wa Zanzibar miaka ya 1900s

1. Jamaa alikuwa ni mweusi tofauti Historia nyingi za Ki Africa zilizopotoshwa na kuna Picha kabisa amepigwa na zipo mitandaoni hakikisha kwa kugoogle hilo jina

Z.jpg
images (26).jpg
images (24).jpg
images (25).jpg

2. Alikuwa kichwa na tuzo kibao kuanzia Dola za kiisilamu kama Ottoman, Hadi Uingereza, Italy, Portugal na kwengineko, baadhi ya Honor zake

HONOURS​

  • King Edward VII Coronation Medal-1902
  • Special Class in brilliants of the Nishan-e-Osmanieh of the Ottoman Empire-1905
  • Grand Cross of the Order of the Crown of Italy-1905
  • Grand Cross of the Order of the Red Eagle, 1st Class of Prussia-1905
  • Grand Cross of the Order of the Immaculate Conception of Vila Viçosa of Portugal-1905
  • King George V Coronation Medal-1911
3. Huyu jamaa utawala wale ali invest na kutengeneza mambo mengi including huku bara, kama hufahamu ndie alimleta Aga khan na partialy ali finance Shule na Hospitali ambazo nyingi zimetaifishwa siku hizi zimekua za serikali, Including Muhimbili kama sijakosea.

Je mtu kama Huyu vijana wetu hawapaswi kumjua? A tuendelee kuwadanganya tu ni waarabu wale walikua wakitesa Wa Africa?

Huyo ni wa karibu tu, Tuje kwenye mada hii, Moors walikua ni watu wa kweli na walikuepo Ulaya walitawala, wachache kwenye Uongozi walikua waarabu ila wengi walitoka Africa, North Africa na Nchi kama Mali na Niger walikuwepo weusi na zipo picha nyingi tu za kale kuthibitisha.

Vipi kuhusu Aksum Empire ambayo Existence yake ilikuwa ikifananishw na Super power wengine kama China, Persia na Roma wakati huo?

Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.

Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?
 
Kwa hiyo sisi Waafrika hii Historia yetu ya kutawaliwa na wazungu tukiiondoa katika mitaala yetu isifundishwe shuleni na vyuoni itasaidia kuwapa na kuwajengea confidence ambao hawataisoma?!
Too much is harmfull, ni msemo mzuri sana, kila kitu kinahitaji balance, ndio kuwafundisha watoto kuhusu kutawaliwa tu kunadumaza mentality za watu. Angalia zao la vijana wetu we mwenyewe shahidi.

Mpaka Vyuoni kozi kama Public relation, political science na kozi zifananiazo wanaendelea kukariri hayo madesa na ndio vilaza wanaotuongoza.
 
Nyie mliokuja na hayo madai kwamba hiyo Historia imefichwa ndio mlipaswa kuja na ushahidi pia wa Syllabus kutoka hizo nchi za Ulaya za shule ya msingi, sekondari na vyuo hasa kwa hizo ncho zinazohusika na huko kutawaliwa kuonyesha hiyo Historia haipo katika mitaala yao.
Mimi naleta ushahidi wangu

"
In the 8th century, Muslims sailed from North Africa and took control of what is now Portugal and Spain. Known in Arabic as al-Andalus, the region joined the expanding Umayyad Empire and prospered under Muslim rule. But that legacy has been largely forgotten in the predominantly Catholic country.

In Portuguese schools, the five centuries of Muslim rule are studied only briefly. Textbooks place more emphasis on a triumphant “reconquest” of the territory by Christian rulers, aided by crusaders, that ended in the 13th century."

Hawa ni Aljazeera walikua wanaelezea namna Mtaala wa Portugal unavyofundisha wanafunzi comquest ya Crusaders kuliko Actual time ya Moors.

Ingia hio link article ndefu inaelezea hadi wanavyoficha maovu ya Heroes wao kama Vasco da Gama kwenye mitaala,
 
We mwenyewe wale wale unani Accuse mimi naongea kwa hisia nitashusha data hapa unihangaishe wee ilihali wewe unabwabwaja tu maneno bila ushahidi

Nilileta kwa ushahidi na nishaongea sana Humu, kuna Vitabu hadi Marekani vinaelezea Utumwa Zanzibar na upo tofauti na Uliofundishwa wewe. Ukitaka nitaweka na majina na paragraph muhimu muhimu.

Mfano ninayotoa sana humu Masultan wa Zanzibar walikuwa weusi kibao, mfano ni Wa Ali bin Hamud Sultan wa Zanzibar miaka ya 1900s

1. Jamaa alikuwa ni mweusi tofauti Historia nyingi za Ki Africa zilizopotoshwa na kuna Picha kabisa amepigwa na zipo mitandaoni hakikisha kwa kugoogle hilo jina

View attachment 2593582View attachment 2593583View attachment 2593584View attachment 2593585

2. Alikuwa kichwa na tuzo kibao kuanzia Dola za kiisilamu kama Ottoman, Hadi Uingereza, Italy, Portugal na kwengineko, baadhi ya Honor zake

HONOURS​

  • King Edward VII Coronation Medal-1902
  • Special Class in brilliants of the Nishan-e-Osmanieh of the Ottoman Empire-1905
  • Grand Cross of the Order of the Crown of Italy-1905
  • Grand Cross of the Order of the Red Eagle, 1st Class of Prussia-1905
  • Grand Cross of the Order of the Immaculate Conception of Vila Viçosa of Portugal-1905
  • King George V Coronation Medal-1911
3. Huyu jamaa utawala wale ali invest na kutengeneza mambo mengi including huku bara, kama hufahamu ndie alimleta Aga khan na partialy ali finance Shule na Hospitali ambazo nyingi zimetaifishwa siku hizi zimekua za serikali, Including Muhimbili kama sijakosea.

Je mtu kama Huyu vijana wetu hawapaswi kumjua? A tuendelee kuwadanganya tu ni waarabu wale walikua wakitesa Wa Africa?

Huyo ni wa karibu tu, Tuje kwenye mada hii, Moors walikua ni watu wa kweli na walikuepo Ulaya walitawala, wachache kwenye Uongozi walikua waarabu ila wengi walitoka Africa, North Africa na Nchi kama Mali na Niger walikuwepo weusi na zipo picha nyingi tu za kale kuthibitisha.

Vipi kuhusu Aksum Empire ambayo Existence yake ilikuwa ikifananishw na Super power wengine kama China, Persia na Roma wakati huo?

Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.

Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?
Haya ni malalamiko yako tu kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania, kwamba utawala wa ki Sultan wa Zanzibar baada ya Uingereza kuichukua Zanzibar katikati ya karne ya 19 na kuutenga na kuufanya huru Usultan wa Zanzibar kutoka ule wa Oman haitiliwi mkazo. Hata mimi sioni maana yoyote ya kuitilia mkazo Historia hiyo kwa sababu usultan katika kipindi hiki ulikuwa chini ya utawala wa mkoloni wa Uingereza kama vile utawala wa machifu wa Tanganyika ulivyokuwa chini ya ukoloni wa Kijerumani, watawala wote wa Tanganyika na Zanzibar kipindi hicho walikuwa vibaraka wa wakoloni wao. Hakuna mashiko katika malalamiko na haya madai yako.
 
We mwenyewe wale wale unani Accuse mimi naongea kwa hisia nitashusha data hapa unihangaishe wee ilihali wewe unabwabwaja tu maneno bila ushahidi

Nilileta kwa ushahidi na nishaongea sana Humu, kuna Vitabu hadi Marekani vinaelezea Utumwa Zanzibar na upo tofauti na Uliofundishwa wewe. Ukitaka nitaweka na majina na paragraph muhimu muhimu.

Mfano ninayotoa sana humu Masultan wa Zanzibar walikuwa weusi kibao, mfano ni Wa Ali bin Hamud Sultan wa Zanzibar miaka ya 1900s

1. Jamaa alikuwa ni mweusi tofauti Historia nyingi za Ki Africa zilizopotoshwa na kuna Picha kabisa amepigwa na zipo mitandaoni hakikisha kwa kugoogle hilo jina

View attachment 2593582View attachment 2593583View attachment 2593584View attachment 2593585

2. Alikuwa kichwa na tuzo kibao kuanzia Dola za kiisilamu kama Ottoman, Hadi Uingereza, Italy, Portugal na kwengineko, baadhi ya Honor zake

HONOURS​

  • King Edward VII Coronation Medal-1902
  • Special Class in brilliants of the Nishan-e-Osmanieh of the Ottoman Empire-1905
  • Grand Cross of the Order of the Crown of Italy-1905
  • Grand Cross of the Order of the Red Eagle, 1st Class of Prussia-1905
  • Grand Cross of the Order of the Immaculate Conception of Vila Viçosa of Portugal-1905
  • King George V Coronation Medal-1911
3. Huyu jamaa utawala wale ali invest na kutengeneza mambo mengi including huku bara, kama hufahamu ndie alimleta Aga khan na partialy ali finance Shule na Hospitali ambazo nyingi zimetaifishwa siku hizi zimekua za serikali, Including Muhimbili kama sijakosea.

Je mtu kama Huyu vijana wetu hawapaswi kumjua? A tuendelee kuwadanganya tu ni waarabu wale walikua wakitesa Wa Africa?

Huyo ni wa karibu tu, Tuje kwenye mada hii, Moors walikua ni watu wa kweli na walikuepo Ulaya walitawala, wachache kwenye Uongozi walikua waarabu ila wengi walitoka Africa, North Africa na Nchi kama Mali na Niger walikuwepo weusi na zipo picha nyingi tu za kale kuthibitisha.

Vipi kuhusu Aksum Empire ambayo Existence yake ilikuwa ikifananishw na Super power wengine kama China, Persia na Roma wakati huo?

Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.

Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?
Kwahiyo huyo Sultan Ali nani kamficha?
Mansa Musa nani kamficha?
Aksum empire nani kaificha?

Na wengineo ambao hujataja kama Usman dan Fodio na Asuke nani kawaficha? Mbona historia za wazi kabisa hizo, zimefichwa kwenye nini na nani kazificha na kwa malengo gani.

Bila kina Alamy na Getty kutunza hizo picha ungezitoa wapi sijui.
 
Mimi naleta ushahidi wangu

"
In the 8th century, Muslims sailed from North Africa and took control of what is now Portugal and Spain. Known in Arabic as al-Andalus, the region joined the expanding Umayyad Empire and prospered under Muslim rule. But that legacy has been largely forgotten in the predominantly Catholic country.

In Portuguese schools, the five centuries of Muslim rule are studied only briefly. Textbooks place more emphasis on a triumphant “reconquest” of the territory by Christian rulers, aided by crusaders, that ended in the 13th century."

Hawa ni Aljazeera walikua wanaelezea namna Mtaala wa Portugal unavyofundisha wanafunzi comquest ya Crusaders kuliko Actual time ya Moors.

Ingia hio link article ndefu inaelezea hadi wanavyoficha maovu ya Heroes wao kama Vasco da Gama kwenye mitaala,
Hii ndio unasema historia imefichwa. Hii ambayo hata vitabu vyake ninavyo. Hakuna mtaala unaweza fundisha historia nzima, haifundishwi kwa kulazimishwa in fact history iko ukitaka unaipata mwenyewe.

Na sio kila nchi inatoa coverage ya history nzima kwenye mitaala. Saudi Arabia hawatoi appreciation kwa mchango wa Ottomans kwenye kueneza Uislamu, vilevile huwezi ona Iran inatoa acknowledgement. Nao tuseme wameficha historia? Kitu kiko wazi unakifichaje.
 
Kuifananisha Aksum/Axum empire na nyingine kama Roman au China empires ni mjadala mwingine mkubwa.

Kitu kingine unapaswa kuelewa ni kwamba Waafrika hata hawakuandika Historia zao wenyewe tofauti na jamii nyingine za dunia.
Hata hiyo historia kidogo ya Mansa Musa na ya hao Moors imeandikwa vizuri zaidi na hao wazungu wenyewe unaolalamikia wameficha Historia. Tunafahamu kwa upana sana historia za kina David Livingstone, John Speke, Cecil Rhodes, Henry M. Stanley, Vasco Da Gama, Christopher Columbus na wazungu wengine wengi wa kale kwa sababu wao wenye walikuwa wanaandika karibia kila kitu, kila siku na kila mahali walikopita(diaries) na wengine walikuwa wanatembea hadi na waandishi katika missions zao. Sisi wakina Mkwawa, Isike na Kinjekitile hawakuandika chochote, sina uhakika hata kama walikuwa wanajua kuandika na kusoma maana wengine kama wakina Mangungo tunaona jinsi walipigwa kwenye mikataba ya ajabu ajabu.

Leo hii hapa kwetu tu hata ukirudi nyuma kidogo hadi miaka ya 1950/60 huwezi kukuta Waafrika wenyewe wamejiandikia Historia yao ya kueleweka. Sasa hivi ndio unasikia hadithi za Said Mohammed ambaye nakufananisha naye sana kwamba wazee wake walimuhadithia, yani hata wazee wake wenyewe katika kipindi cha maendeleo makubwa ya uandishi hawakujisumbua kuweka Historia yao wenyewe katika maandishi, wanategemea kusemewa na watu wengine wa huko mbali!
We mwenyewe wale wale unani Accuse mimi naongea kwa hisia nitashusha data hapa unihangaishe wee ilihali wewe unabwabwaja tu maneno bila ushahidi

Nilileta kwa ushahidi na nishaongea sana Humu, kuna Vitabu hadi Marekani vinaelezea Utumwa Zanzibar na upo tofauti na Uliofundishwa wewe. Ukitaka nitaweka na majina na paragraph muhimu muhimu.

Mfano ninayotoa sana humu Masultan wa Zanzibar walikuwa weusi kibao, mfano ni Wa Ali bin Hamud Sultan wa Zanzibar miaka ya 1900s

1. Jamaa alikuwa ni mweusi tofauti Historia nyingi za Ki Africa zilizopotoshwa na kuna Picha kabisa amepigwa na zipo mitandaoni hakikisha kwa kugoogle hilo jina

View attachment 2593582View attachment 2593583View attachment 2593584View attachment 2593585

2. Alikuwa kichwa na tuzo kibao kuanzia Dola za kiisilamu kama Ottoman, Hadi Uingereza, Italy, Portugal na kwengineko, baadhi ya Honor zake

HONOURS​

  • King Edward VII Coronation Medal-1902
  • Special Class in brilliants of the Nishan-e-Osmanieh of the Ottoman Empire-1905
  • Grand Cross of the Order of the Crown of Italy-1905
  • Grand Cross of the Order of the Red Eagle, 1st Class of Prussia-1905
  • Grand Cross of the Order of the Immaculate Conception of Vila Viçosa of Portugal-1905
  • King George V Coronation Medal-1911
3. Huyu jamaa utawala wale ali invest na kutengeneza mambo mengi including huku bara, kama hufahamu ndie alimleta Aga khan na partialy ali finance Shule na Hospitali ambazo nyingi zimetaifishwa siku hizi zimekua za serikali, Including Muhimbili kama sijakosea.

Je mtu kama Huyu vijana wetu hawapaswi kumjua? A tuendelee kuwadanganya tu ni waarabu wale walikua wakitesa Wa Africa?

Huyo ni wa karibu tu, Tuje kwenye mada hii, Moors walikua ni watu wa kweli na walikuepo Ulaya walitawala, wachache kwenye Uongozi walikua waarabu ila wengi walitoka Africa, North Africa na Nchi kama Mali na Niger walikuwepo weusi na zipo picha nyingi tu za kale kuthibitisha.

Vipi kuhusu Aksum Empire ambayo Existence yake ilikuwa ikifananishw na Super power wengine kama China, Persia na Roma wakati huo?

Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.

Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?
 
Historia inayofundishwa katika mfumo wa elimu rasmi Tanzania kwa sehemu kubwa ni summary tu na bado watu wanaiona complicated wanajitafutia vitabu vya summary zaidi! Wazungu wanafundishana na wameandika vitabu kwa upana sana kuhusu hata wa kutawaliwa kule walipotaliwa, kutawalana, kubaguana na kupigana vita vikubwa na vidogo kuanzia enzi na enzi.
Huko kwao utapata kwa uzuri sana historia za vita na tawala za jamii/makabila yao ya Vikings, Anglo-Saxons, Danes, Slavs, Empires zao, ukoloni wao, hatua za maendeleo, enzi za vita vya dunia na Hitler mpaka hapa tulipo sisi, huwezi kukuta wameacha kitu.
Too much is harmfull, ni msemo mzuri sana, kila kitu kinahitaji balance, ndio kuwafundisha watoto kuhusu kutawaliwa tu kunadumaza mentality za watu. Angalia zao la vijana wetu we mwenyewe shahidi.

Mpaka Vyuoni kozi kama Public relation, political science na kozi zifananiazo wanaendelea kukariri hayo madesa na ndio vilaza wanaotuongoza.
 
Kwahiyo huyo Sultan Ali nani kamficha?
Mansa Musa nani kamficha?
Aksum empire nani kaificha?

Na wengineo ambao hujataja kama Usman dan Fodio na Asuke nani kawaficha? Mbona historia za wazi kabisa hizo, zimefichwa kwenye nini na nani kazificha na kwa malengo gani.

Bila kina Alamy na Getty kutunza hizo picha ungezitoa wapi sijui.
Alamy ni platform ya kuuzia picha, hio picha kuna mtu anauza anaweza kuwa mimi, wewe ama mtu mwengine yoyote, haina mantiki yoyote na sio kwamba wameihifadhi, na ukiona ina watermark ujue mtu ametumia Demo, ukinunua picha unapata Quality kamili.

Historia inafichwa kwenye Sylabus hilo ndio tunaliongea toka mwanzo hapa,
 
Historia inayofundishwa katika mfumo wa elimu rasmi Tanzania kwa sehemu kubwa ni summary tu na bado watu wanaiona complicated wanajitafutia vitabu vya summary zaidi! Wazungu wanafundishana na wameandika vitabu kwa upana sana kuhusu hata wa kutawaliwa kule walipotaliwa, kutawalana, kubaguana na kupigana vita vikubwa na vidogo kuanzia enzi na enzi.
Huko kwao utapata kwa uzuri sana historia za vita na tawala za jamii/makabila yao ya Vikings, Anglo-Saxons, Danes, Slavs, Empires zao, ukoloni wao, hatua za maendeleo, enzi za vita vya dunia na Hitler mpaka hapa tulipo sisi, huwezi kukuta wameacha kitu.
Nimekupa ushahidi nimekuwekea na link ila umeipotezea kimya unadandia comment nyengine thats why natwamga tu maji kwenye kinu, endelea tu mkuu kuabudu unaoabudu.
 
Back
Top Bottom