Mojawapo kati ya picha zako

Mojawapo kati ya picha zako

Kuna mama mmoja amefariki last satoo...nifamous Sana Moro...anahotel inalishaga mabasi yanayotoka dar-dom...hotel yake ilikua inaitwa mama Nelly..
Ameamka salama saa11 akajipima BP na sukari...akamwambia mumewe mhh leo bp silielewi Mara 220 Mara 240! Akamwambia mumewe nipime wewe...mume kupima ikawa 240! Hapo amekaa bed mzima wa afya..akamwambia mumewe Ila leo najisikia vby..siku zote mume wangu naugua Ila Leo naamini Nakufa..niombee niliowakosea wanisamehe..
Unaambiawa week Zima kutoka jmatu alikua anavaa suti na kofia zake ..akivaa blak bas had kofia...akifika job anawaambia wafanyakzi nipigen picha niwatumie wanangu .unaambiwa Alivaa white..black..brown had ijumaa...akipigwa picha anatuma kwa mume na mchungaji na watoto wake woote..anawaambia nioneni wanangu nilivyopendeza..
Usiku aliofariki unaambiwa alikua anamwambia mumewe leo naomba unikumbatie...bas bed akawa anamtake care balaa mumewe...anamuongelesha had saa6! Sasa mumewe akawa anajiuliza Ina maana mke wangu hajachoka leo? Mbona had nw ananiongelesha tu?naskia akawa anamsongelea mumewe anamfunika na shuka..anamkumbatia kana kwamba Kuna baridi...bas alipopimwa BP saa12 akaanza kuvomit..akamwambia mumewe nipeleke hossy.....wakambeba na dada wa kazi...wanafika mkoa ashafariki...
Kifupi Yule mama alimuaga mumewe na wanaye kabisaaa! Imagine mke anakuambia niombee nilowakosea leo sitapona😭😭!Kuna vifo vyepesi had raha..
Duh! hii ni moment ambayo wengi tunatamani tuijue ila ni wachache kwakizazi hiki. Ukifa umewaaga ndugu jamaa na marafiki huwa kuna utulivu wa nafsi naamini. Brother Mshana Jr ukuje
 
Duh! hii ni moment ambayo wengi tunatamani tuijue ila ni wachache kwakizazi hiki. Ukifa umewaaga ndugu jamaa na marafiki huwa kuna utulivu wa nafsi naamini. Brother Mshana Jr ukuje
Yaani naskia aliniambia mumewe mie najua nitatangulia..siku nikifa mume wangu hakikisha unanunua gauni jeupe expensive..uwiii watu wanalala kwa aman
 
Yaani naskia aliniambia mumewe mie najua nitatangulia..siku nikifa mume wangu hakikisha unanunua gauni jeupe expensive..uwiii watu wanalala kwa aman
Na mpaka ifikie hapo, lazima kulikuwa na upendo usiokifani. Mtu ambaye mnaishi kwa migogoro hamuwezi kuagana kwa amani, utasikia "bora Mungu anichukue ili uendelee kufurahi"
 
Kijana wake wa pekee ameoa mdogo wangu🤧!ukisikia definition ya mwanamke mpiganaji Yule mama nishamvhliaga kifua .alikua anajua kuitafuta Sana hela. Kifupi kaacha millions ndefu bank...lol
Basi jitahidi tumpate hata bintiye, hatukawii kuwa sehemu ya watia saini bank
 
JamiiForums-1277770569.jpg

Rip dereva wa RAS DOM
 
Hello Mkuu Mshana Jr, habari za siku?! Naona mambo yako yameanza tena, ila binafsi siogopi kufa na tayari picha ya kwenye jeneza langu nishaiandaa, nawaambia wanaonihusu wanahisi natania, ila naamini siku nikifariki wataiweka hiyo, labda nifariki nikiwa mzee sana, ila sina hofu ya kifo.

Pole kwa msiba uliokupata. Amina!

Ahsante!
Lady Jaydee aliandaa mpaka jeneza..sijui bado ako nalo?
 
Kwasisi maustadhat akuuuuu............ hatuwekewi picha wala negative.....dini hairuhusu
Lakini jamaa na ndugu zako wanaweza kukupost mitandaoni na watachagua moja kati ya picha zako
 
c9272bf51fab582d75515440aed91dc7.jpg


Najua ni wazi hujui ni ipi, na inaweza ikatokea umeipiga tu katika mazingira fulani yasiyo na matayarisho yoyote.

Lakini niamini ni mojawapo kati ya picha zako ndio itakayotumika kuwekwa juu ya jeneza lako ama kama ikitokea unasafirishwa ndio itawekwa pale mbele kwenye coaster ...na unajua kwanini huijui?

Ni kwa vile kwanza atakayeichagua si wewe na kwa vile unaogopa kifo na hujui utakufa lini.

Unapotafuta ajira unatakiwa kuleta passport size zenye kuonekana vema! Yani sura yote mpaka masikio.

Kumbuka ni picha hiyohiyo itakayotumika kuwekwa kwenye vyombo vya habari kwa kichwa cha habari chenye maandishi makubwa ANATAFUTWA siku ukilikoroga.

Huwa nikiwaona watu wanapiga picha nakuwa nawaza mengi sana
9c2e03d9347f3f18c5f831d8abbfc161.jpg
Mshana Jr bhana
 
Back
Top Bottom