Mojawapo kati ya picha zako

Mojawapo kati ya picha zako

😀😀😀
f5cecc3a7750d5f3576649873b55a7b3.jpg
 
Dah mshana bwana kwa kupenda mambo ya kufa kufa.... Halafu basi ataungekua unaposti mchana, unasubiri usiku watu tumelala, tumeshtuka kidogo usingizin tunapita Jf tunakutana na mambo yako ya kufa kufa, mara mida ya wanga
umeona eeeh mi usiku naogopa kufungua thread zake
 
Back
Top Bottom