Jamaa atakuwa anafanya meditation sana . But post kama hizi ni reflection nzuri , hutukumbusha kesho yetu . Kifo ndio kitu pekee we are certain kuwa kitatokea kwa kila mmoja wetuDah mshana bwana kwa kupenda mambo ya kufa kufa.... Halafu basi ataungekua unaposti mchana, unasubiri usiku watu tumelala, tumeshtuka kidogo usingizin tunapita Jf tunakutana na mambo yako ya kufa kufa, mara mida ya wanga
Moja wapo katika picha zako dah