Mojawapo kati ya picha zako

Mojawapo kati ya picha zako

kweli nimeamini ndo mana wanga ni chakulaa kinacholiwaa na wengiii
 
.
IMG-20191219-WA0018~2.jpeg

Jr
 
c9272bf51fab582d75515440aed91dc7.jpg

Najua ni wazi hujui ni ipi, na inaweza ikatokea umeipiga tu katika mazingira fulani yasiyo na matayarisho yoyote.

Lakini niamini ni mojawapo kati ya picha zako ndio itakayotumika kuwekwa juu ya jeneza lako ama kama ikitokea unasafirishwa ndio itawekwa pale mbele kwenye coaster ...na unajua kwanini huijui?

Ni kwa vile kwanza atakayeichagua si wewe na kwa vile unaogopa kifo na hujui utakufa lini.

Unapotafuta ajira unatakiwa kuleta passport size zenye kuonekana vema! Yani sura yote mpaka masikio.

Kumbuka ni picha hiyohiyo itakayotumika kuwekwa kwenye vyombo vya habari kwa kichwa cha habari chenye maandishi makubwa ANATAFUTWA siku ukilikoroga.

Huwa nikiwaona watu wanapiga picha nakuwa nawaza mengi sana
9c2e03d9347f3f18c5f831d8abbfc161.jpg
Umenikumbusha siku moja kuna rafiki yangu alikuja mahali pa kazi, akasema anataka kupiga picha kubwa (A4) nne. Aliniambia nimfotoe vizuri kabisa maan mojawapo kati ya hizo picha ndiyo itatumika siku akifa kwakuwa hakuwa na picha nzuri. Nilichukulia utani tu nikamfanyia kazi yake vema. Alinionesha mbili kati ya zile picha kuwa mojawapo ndio itatumika siku ya mazshi yake.

Siku moja akiwa kwenye shughuli zake alianza kutuma meseji kwa watu mbalimbali nanukuu "nawaaga wote kwakuwa nina safari kesho. Nitasafiri kwenda ulaya kula bata na hatutaonana tena. Nqwatakia maisha mema kwaherini." Alituma meseji hiyo usiku, asubuhi yake zikaja taarifa kuwa anaumwa yupo hoi hospital. Hakika kati ya wote waliopata ile meseji yake, hakuna aliyeweza kumuona akiwa hai tena. Maana siku nzima alikuwa chini ya uangalizi wa wauguzi hivyo wengi hawakuingia wodini waliishia nje tu. Jioni ya siku hiyohiyo (ambayo aliitaja kama kesho kwenye ujumbe wake) akafariki. Aisee, ilikuwa huzuni. Siku ya mazishi moja kati ya picha alizonionesha, ndiyo ilikuwa utambulisho kwenye jeneza. Nilipowaambia watu walishangaa sana kwakuwa hizo picha zilikuwa hazijamaliza hata mwezi tangu alipozichukua.

R I P my friend huwa tunakusema sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!

Dah...hii reply sikuwahi kuiona ..kesho itabidi unisimulie vema tena..kuna watu huwa wanajua mwisho wao na hujiandaa
 
Sanaa ya kifo
 
Dah...hii reply sikuwahi kuiona ..kesho itabidi unisimulie vema tena..kuna watu huwa wanajua mwisho wao na hujiandaa
Kuna mama mmoja amefariki last satoo...nifamous Sana Moro...anahotel inalishaga mabasi yanayotoka dar-dom...hotel yake ilikua inaitwa mama Nelly..
Ameamka salama saa11 akajipima BP na sukari...akamwambia mumewe mhh leo bp silielewi Mara 220 Mara 240! Akamwambia mumewe nipime wewe...mume kupima ikawa 240! Hapo amekaa bed mzima wa afya..akamwambia mumewe Ila leo najisikia vby..siku zote mume wangu naugua Ila Leo naamini Nakufa..niombee niliowakosea wanisamehe..
Unaambiawa week Zima kutoka jmatu alikua anavaa suti na kofia zake ..akivaa blak bas had kofia...akifika job anawaambia wafanyakzi nipigen picha niwatumie wanangu .unaambiwa Alivaa white..black..brown had ijumaa...akipigwa picha anatuma kwa mume na mchungaji na watoto wake woote..anawaambia nioneni wanangu nilivyopendeza..
Usiku aliofariki unaambiwa alikua anamwambia mumewe leo naomba unikumbatie...bas bed akawa anamtake care balaa mumewe...anamuongelesha had saa6! Sasa mumewe akawa anajiuliza Ina maana mke wangu hajachoka leo? Mbona had nw ananiongelesha tu?naskia akawa anamsongelea mumewe anamfunika na shuka..anamkumbatia kana kwamba Kuna baridi...bas alipopimwa BP saa12 akaanza kuvomit..akamwambia mumewe nipeleke hossy.....wakambeba na dada wa kazi...wanafika mkoa ashafariki...
Kifupi Yule mama alimuaga mumewe na wanaye kabisaaa! Imagine mke anakuambia niombee nilowakosea leo sitapona😭😭!Kuna vifo vyepesi had raha..
 
Kuna mama mmoja amefariki last satoo...nifamous Sana Moro...anahotel inalishaga mabasi yanayotoka dar-dom...hotel yake ilikua inaitwa mama Nelly..
Ameamka salama saa11 akajipima BP na sukari...akamwambia mumewe mhh leo bp silielewi Mara 220 Mara 240! Akamwambia mumewe nipime wewe...mume kupima ikawa 240! Hapo amekaa bed mzima wa afya..akamwambia mumewe Ila leo najisikia vby..siku zote mume wangu naugua Ila Leo naamini Nakufa..niombee niliowakosea wanisamehe..
Unaambiawa week Zima kutoka jmatu alikua anavaa suti na kofia zake ..akivaa blak bas had kofia...akifika job anawaambia wafanyakzi nipigen picha niwatumie wanangu .unaambiwa Alivaa white..black..brown had ijumaa...akipigwa picha anatuma kwa mume na mchungaji na watoto wake woote..anawaambia nioneni wanangu nilivyopendeza..
Usiku aliofariki unaambiwa alikua anamwambia mumewe leo naomba unikumbatie...bas bed akawa anamtake care balaa mumewe...anamuongelesha had saa6! Sasa mumewe akawa anajiuliza Ina maana mke wangu hajachoka leo? Mbona had nw ananiongelesha tu?naskia akawa anamsongelea mumewe anamfunika na shuka..anamkumbatia kana kwamba Kuna baridi...bas alipopimwa BP saa12 akaanza kuvomit..akamwambia mumewe nipeleke hossy.....wakambeba na dada wa kazi...wanafika mkoa ashafariki...
Kifupi Yule mama alimuaga mumewe na wanaye kabisaaa! Imagine mke anakuambia niombee nilowakosea leo sitapona!Kuna vifo vyepesi had raha..
Mmmh....ni hii hotel karibu na Tanesco!? Kwanini alikiona kifo chake kwa uwazi kiasi hicho!? Amemaliza vizuri kweli mwendo wake
 
Stend ya dom...alikua ana dini balaa. Jumamos hakua akifanya kazi kbs. Amesaidia mamia kwa maelfu..karibu kila kanisa hapa town Kuna mkono wake...mie sio muumin kivile wa dini lakini kwahili naamini ametukumbusha kumrudia Mungu
 
Apumzike kwa amani..mwendo ameumaliza imani ameilinda
 
Dah...hii reply sikuwahi kuiona ..kesho itabidi unisimulie vema tena..kuna watu huwa wanajua mwisho wao na hujiandaa
Yaani acha kabisa bro!! Zile picha mpaka leo hii sijazisahau. Ni moja kati ya kazi zilizobaki kichwan na maneno yake hayajatoka kichwani. Najiuliza ile meseji aliwaza nn maana kipindi hicho ndio kufowadiana meseji ndio ilikuwa chat ila ile meseji sijawahi kuiona popote.
 
Back
Top Bottom