Byabato Kilama
Member
- Jun 13, 2007
- 10
- 1
Du hiyo bei mbona ya kifo 10,000 au umetumia hele za zimbabwe dolla
Siku jua kama Ze Bingwa ni ya TBL.....ila mpwa naona wee unafaa kunywa Ze Pingu. me itabidi nirudie kunywa MbegeTeh teh teh mpwa Ze bingwa si ndo hao wamesha ungua!
Balimi ndio bia gani tena hiyo mkuu? ndio kwanza naisikia toka kwako?
Hii ni hujuma kabisa, kwanini viwanda vya maji ya uhai ama vya coca cola na pepsi hajaungua?
Ahsante mkuu kwa kunifahamisha.kali zaidi ya Bingwa? kipindi cha nyuma ili semekana kuwa wa nywaji wa Ze Bingwa walikuwa wanapoteza funguo baada ya kupata hiyo kitu! Vipi kwa Upande wa BALIMI? pombe nyingine ni kujitafutia matatizo tu.BALIMI ni product ya TBL Mwanza plant. niliwahi kuionja kipindi fulani nikiwa kanda ya ziwa. huwa inaishia kule kule kanda ya ziwa. Ni kali zaidi ya Bingwa!!!
Siku jua kama Ze Bingwa ni ya TBL.....ila mpwa naona wee unafaa kunywa Ze Pingu. me itabidi nirudie kunywa Mbege
Ni bora kiteketee kabisa, maana pombe imerudisha maendeleo ya watu wengi nyuma Tanzania!!
Ishu sio insurance, vinywaji tuta pata wapi??????
hili tena balaa gani?. Wengine hatuwezi kuishi bila kupata tusker/serengeti baridiiiiii
Are you serious?
Kwa hiyo una shauri watu wafuate misingi ya Uislamu wakati wa Ramadhani tu? Kwa nini usi wasihi wafanye hivi siku zote?