Moja ya stoo za creti kiwanda cha bia (TBL) imeungua moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moja ya stoo za creti kiwanda cha bia (TBL) imeungua moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 29, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  tutakunywa juice? TANZANIA BREWERIES YAUNGUA MOTO

  Habari kamili ni kuwa kampuni ya bia ya Tanzania (TBL) imeungua moto tangu usiku wa saa tisa ya kuamkia leo.... mpaka sasa moto unazidi kuendelea chanzo halisi akijajulikana...

  Wenye habari zaidi tunaomba mtumwagie jamvini.......
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  naona wazee wa BANANA na CHANGAA BILA KUWASAHAU WENZANGU WA KONYAGI WANAGONGANISHA GLASS,.......KAZI IPO..,,MSIOGOPE KUHAMIA KWINGINE....
   
 3. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hili tena balaa gani?. Wengine hatuwezi kuishi bila kupata Tusker/Serengeti baridiiiiii
   
 4. C

  Chakarota Member

  #4
  Jul 29, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa Wa-Islam,
  Hi ni ishara kua mwezi mtukufu wa Ramadhani uko karibu, tujaribu kujiweka mbali na amal za shitan.

  Kwa waliokua hawajabahatika kurejea kwenye Uislam,

  Alchohol is a mother of all evil, Please turn to a better drink, it's heathy and safe in your life. Statistics are available in every country the misery which are caused by Alcohol.
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Tutakunywa wine!
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo una shauri watu wafuate misingi ya Uislamu wakati wa Ramadhani tu? Kwa nini usi wasihi wafanye hivi siku zote?
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kiwanda hakina insurance? Kama hakina bima basi itakua kitu cha ajabu sana.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Naona ni mwendo wa Jack Daniels na Heineken from now on!
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ITV wanaonesha, makreti ya bia ndo yanaungua nadhani.
   
 10. O

  OkSIR Senior Member

  #10
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatuwezi kuishi bila tusker/Serengeti baridiiiiii

  eeeeeeeeeeehhhhhhh usituwazie mabaya baba.....serengeti inajitegemea iko kibasila kule.....nyie endeleeni kula maji yenu ya ilala tuachieni serengeti yetu,,,ile ikiungua jakaya lazima aelekee changombe usiku wa manane...kuakikisha zimamoto zote tanzania ziko pale..kile kinaumuhmu wake bwana............serengetiiiiiiii lager..............
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  zaidi ya kreti tupu laki moja zimeshaungua.....
  hope they are fully insured.
   
 12. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Hii mbona ni dhahama!!! tutaishije bila ya kupata hata moja moto moja baridi???? inabidi tuanze kujizoesha kunywa vinywaji vingine!!!
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  cha muhimu ni mitambo.....kama haitaungua basi itakuwa vyema, makreti siyo issue kubwa.
   
 14. M

  Magezi JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hii ni neema kwa serengeti breweries, waongeze bidii ya uzalishaji.
   
 15. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Ishu sio insurance, vinywaji tuta pata wapi??????
   
 16. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Swali kwamba, watakidhi mahitaji??????
   
 17. M

  Magezi JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hata TBL wana plant ya Arusha kwa hiyo waiongezee nguvu ili ikidhi mahitaji japo kidogo kwa sababu mara nyingi ilikuwa inazimwa production ikizidi.
   
 18. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  OK! lets hope kwamba watakidhi mahitaji...
   
 19. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Viwanda vya Arusha na Mwanza viongeze bidii tupate bia kama kawaida. Balimi Lager sasa!!
   
 20. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,086
  Likes Received: 1,731
  Trophy Points: 280
  Are you serious?
   
Loading...