Moja ya sababu za Foreigners kulisha Hoteli za kitalii Matunda na Mboga mboga ni kwa sababu ya ujinga wa sisi Watanzania hakuna sababu nyingine.

Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi.

Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super Market Anailisha ile Singita Grumet Hoteli ile hotel ya iana yake pale Serengeti, analisha hizi Internationa schoos zote za Arusha, sisi hatuna habari.

Yule Mzungu anafanya kulemewa kuna wakati hana mzigo kabisa na anafanya kuomba wabongo wa subcontract ila ndio kama hivyo sisi tuko busy na nazao ya urithi wetu.

Sisi Watanzania tumekalia kuzodoana tu.

Arusha kule kuna Simba Farm Mzungu analisha Hotel na Camp zote.

Fikiria Katavi National Park Hotels zote mboga mboga na matunda zinatokea Arusha kwa wazungu, sasa wape wazo watu wa Katavi hawatakuelewa kabisa wataona ni utapeli mkubwa sana na ni wizi.

Fikiria ndani ya nchi yetu ila wanao supply matunda na Mboga mboga ni wageni wanao lima hapa hapa Tanzaniaz sisi tuko busy kuzodoana na tu.

Mimi huwa naumia sana kuona kwamba Wazungu ndio wanao faidika na hata wingi wa Watalii Tanzania hii na sio sisi Wazawa.

Sisi tuendelee kuzodoana na kukomaa na kilimo cha urithi wetu.

Siku ujinga ukituisha tutaamka tupambane nao kwenye bishara ingawa itakuwa too late.
Tunahangaika na No Reforms, No Erection
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and marrying so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Hata sex hatuwezi, tunaishi kwa msaada wa energy na panadol, vumbi la tp mazembe..
Ukitaka kujua hcho watengeneze video za xx, yaani ile tu director amesema action, mbongo amemwaga tayari na movie inaishia pale..
 
Asa mi nna shamba heka 2 za urithi natoa wapi nguvu ya kwenda kupeleka hoja zangu ofisi za Four. Seasons Safari lodge /Mbali mbali soroi Serengeti lodge🤣🤣 we kuweza?
Muna vitu vingi vya kuzalisha sio lazima upeleke four season Hotel au Singita
 
Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi.

Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super Market Anailisha ile Singita Grumet Hoteli ile hotel ya iana yake pale Serengeti, analisha hizi Internationa schoos zote za Arusha, sisi hatuna habari.

Yule Mzungu anafanya kulemewa kuna wakati hana mzigo kabisa na anafanya kuomba wabongo wa subcontract ila ndio kama hivyo sisi tuko busy na nazao ya urithi wetu.

Sisi Watanzania tumekalia kuzodoana tu.

Arusha kule kuna Simba Farm Mzungu analisha Hotel na Camp zote.

Fikiria Katavi National Park Hotels zote mboga mboga na matunda zinatokea Arusha kwa wazungu, sasa wape wazo watu wa Katavi hawatakuelewa kabisa wataona ni utapeli mkubwa sana na ni wizi.

Fikiria ndani ya nchi yetu ila wanao supply matunda na Mboga mboga ni wageni wanao lima hapa hapa Tanzaniaz sisi tuko busy kuzodoana na tu.

Mimi huwa naumia sana kuona kwamba Wazungu ndio wanao faidika na hata wingi wa Watalii Tanzania hii na sio sisi Wazawa.

Sisi tuendelee kuzodoana na kukomaa na kilimo cha urithi wetu.

Siku ujinga ukituisha tutaamka tupambane nao kwenye bishara ingawa itakuwa too late.
🤝
 
kulima sio tatizo ila soko lina wenyewe, kama unabisha jaribu kulima wewe uende hukohuko anakoenda mzungu hala sikiliza utakachoambiwa
 
Unalima? usha wahi kulima ukakuta soko lina wenyewe? Hizi ndio visinguzoa tunajua,
 
Back
Top Bottom