Moja ya sababu za Foreigners kulisha Hoteli za kitalii Matunda na Mboga mboga ni kwa sababu ya ujinga wa sisi Watanzania hakuna sababu nyingine.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,942
Reaction score
9,462
Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi.

Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super Market Anailisha ile Singita Grumet Hoteli ile hotel ya iana yake pale Serengeti, analisha hizi Internationa schoos zote za Arusha, sisi hatuna habari.

Yule Mzungu anafanya kulemewa kuna wakati hana mzigo kabisa na anafanya kuomba wabongo wa subcontract ila ndio kama hivyo sisi tuko busy na nazao ya urithi wetu.

Sisi Watanzania tumekalia kuzodoana tu.

Arusha kule kuna Simba Farm Mzungu analisha Hotel na Camp zote.

Fikiria Katavi National Park Hotels zote mboga mboga na matunda zinatokea Arusha kwa wazungu, sasa wape wazo watu wa Katavi hawatakuelewa kabisa wataona ni utapeli mkubwa sana na ni wizi.

Fikiria ndani ya nchi yetu ila wanao supply matunda na Mboga mboga ni wageni wanao lima hapa hapa Tanzaniaz sisi tuko busy kuzodoana na tu.

Mimi huwa naumia sana kuona kwamba Wazungu ndio wanao faidika na hata wingi wa Watalii Tanzania hii na sio sisi Wazawa.

Sisi tuendelee kuzodoana na kukomaa na kilimo cha urithi wetu.

Siku ujinga ukituisha tutaamka tupambane nao kwenye bishara ingawa itakuwa too late.
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and marrying so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi.

Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super Market Anailisha ile Singita Grumet Hoteli ile hotel ya iana yake pale Serengeti, analisha hizi Internationa schoos zote za Arusha, sisi hatuna habari.

Yule Mzungu anafanya kulemewa kuna wakati hana mzigo kabisa na anafanya kuomba wabongo wa subcontract ila ndio kama hivyo sisi tuko busy na nazao ya urithi wetu.

Sisi Watanzania tumekalia kuzodoana tu.

Arusha kule kuna Simba Farm Mzungu analisha Hotel na Camp zote.

Fikiria Katavi National Park Hotels zote mboga mboga na matunda zinatokea Arusha kwa wazungu, sasa wape wazo watu wa Katavi hawatakuelewa kabisa wataona ni utapeli mkubwa sana na ni wizi.

Fikiria ndani ya nchi yetu ila wanao supply matunda na Mboga mboga ni wageni wanao lima hapa hapa Tanzaniaz sisi tuko busy kuzodoana na tu.

Mimi huwa naumia sana kuona kwamba Wazungu ndio wanao faidika na hata wingi wa Watalii Tanzania hii na sio sisi Wazawa.

Sisi tuendelee kuzodoana na kukomaa na kilimo cha urithi wetu.

Siku ujinga ukituisha tutaamka tupambane nao kwenye bishara ingawa itakuwa too late.
Umeongea pointi kubwa hata kulw. ZANZIBAR supply wa mbogamboga ni mzungu.
 
Real, Hakuna Taifa lina watu wapumbavu kama Tanzania hii
 
Wewe umechukua hatua gani? Au hatua ndo hii kuandika uzi na kulaumu ndugu zako?
 
Mkuu mbona unawafokea watu ? Umeona fursa ichukue, komaa na wewe uwe supplier,,,,,unalazimisha kila mtu alime mboga ama matunda ? Kila mtu ana namna yake ya kupata hela, as long as hakuna mtu aliyekuja kwako kukuomba kibaba cha unga !

Inawezekana ulikuwa na wazo ama nia njema na uzi wako lakini uwasilishwaji zero
 
Sio kuwa mtaweza kushindana nao, hapana
Hamuwezi tu kwani mna ujanja mwingi na hamna hela za ku inject kwenye biashara
Jambo lingine ni uaminifu na kuwa na bidhaa kila wakati
Unasema wakielemewa wanakuja kuomba kwenu
Ila hamuwapi bure bali wananunua

Wewe nikikuuliza bidhaa unazo supply kwangu kama huna ungesema Boss nimetuma kumbe hakuna kitu

Uongo mwingi, wizi mwingi na ujanja wa kijinga
Hampo kwenye biashara kabisa

Kikwete kuna wakati alisema atume vijana kwenda Kenya eti kujifunza Packaging 😜

Wabongo mnahitaji kuwa wakweli na kujituma haswa 24/7 unakuwa unawaza biashara tu

Kenya na Ug wametuacha mbali sana kwani mboga zao zimejaa masoko ya Ulaya na wakikosa kwao wanakuja kununua Tz ili biashara ziende

Mimi nimo sana kwenye hizi biashara nje na ndani
Unahitaji uingize hela nyingi na uwekeze kwa wataalamu wazuri
 
Wanao faidika na wingi wa Hoteli za kitalii au Camps hapa Tanzania au wingi wa watalii ni foregners, na sio sisi Watanzania. Sababu iko wazi.

Kule Iringa kuna yule Mafisio, yule Mzungu anailisha Zanzibar yote, analisha Dar hotels na Super Market zote, anailisha Arusha hoteli zote na Super Market Anailisha ile Singita Grumet Hoteli ile hotel ya iana yake pale Serengeti, analisha hizi Internationa schoos zote za Arusha, sisi hatuna habari.

Yule Mzungu anafanya kulemewa kuna wakati hana mzigo kabisa na anafanya kuomba wabongo wa subcontract ila ndio kama hivyo sisi tuko busy na nazao ya urithi wetu.

Sisi Watanzania tumekalia kuzodoana tu.

Arusha kule kuna Simba Farm Mzungu analisha Hotel na Camp zote.

Fikiria Katavi National Park Hotels zote mboga mboga na matunda zinatokea Arusha kwa wazungu, sasa wape wazo watu wa Katavi hawatakuelewa kabisa wataona ni utapeli mkubwa sana na ni wizi.

Fikiria ndani ya nchi yetu ila wanao supply matunda na Mboga mboga ni wageni wanao lima hapa hapa Tanzaniaz sisi tuko busy kuzodoana na tu.

Mimi huwa naumia sana kuona kwamba Wazungu ndio wanao faidika na hata wingi wa Watalii Tanzania hii na sio sisi Wazawa.

Sisi tuendelee kuzodoana na kukomaa na kilimo cha urithi wetu.

Siku ujinga ukituisha tutaamka tupambane nao kwenye bishara ingawa itakuwa too late.
Uko Sahihi kwa mtizamo. Ila nakufahamisha kuwa biashara ya Utalii bila Mzungu huwezi kutoboa. Hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kushawishi mtalii au biashara ya Utalii bila mgongo wa Mzungu. Ivyo kama wazungu wataweza miliki kwa sana basi nasi tutaokota hapo.
Utalii bila Mzungu, Mtz hawezi
 
sio kweli, hii ni mindset tu imejengeka na sababu kubwa ni Janja janja zetu
 
Asa mi nna shamba heka 2 za urithi natoa wapi nguvu ya kwenda kupeleka hoja zangu ofisi za Four. Seasons Safari lodge /Mbali mbali soroi Serengeti lodge🤣🤣 we kuweza?
 
Back
Top Bottom