Hahahaha mkuu nimekupata ndo nipo katika mikakati kujua wapi vikao vya mazishi vinafanyika maana siku hizi vikao vya msiba tunafanyia bar sasa sijajua bar gani si unajua huyu ni mdosi lazima tunywe kwanza tuanza mikakati lakini najua toka jana mapedeshee tayari walisha kutana leo nyumbani kwake sinza kuna nyomi ya ajabu.
NAME /STATUS
1. Amina Chifupa /DECEASED or DEADED
2.
3.
4.
.
.
.
.
.
.
Mwanzoni niliposikia kwa huyo mtaalam wa Lugalo nilidhani nimesikia vibaya kama ni PCP au PCB (ile masomo waliyokuwa wanasoma jamaa ambao baadae huwa madokta), nikairusha hapa nipate maoni. Kumbe spelling nimepatia, PCP. Sasa hiyo kirefu chake na maelezo, nimekoma kabisa maana nilidhani jamaa anapakaziwa flani.
Sasa kabla hatujakatishana tamaa kabisa, kwani hiyo PCP haina dawa kabisa jamani? Yaani zile dawa za ARV hazitibu hiyo? Au jamaa hakuwa amejiandikisha kwenye ARV? Tusaidiane ushauri jamani, kama hiyo PCP haisikii hata ARV, mtu anatakiwa afanyeje kama kweli anayo hiyo HIV ili asipate PCP?
Dawa ni kuacha tu kumega ovyo ovyo muikimbie dhinaakwa niaba ya watu wengine,kujiepusha na huu mstakabali,tungeomba hii CHAIN ya mpakanjia ianikwe jamvini
Hakuna aibu kwa ukimwi. Tukiwa wazi tutaokoa wengi na pia itawapa courage wenye ukimwi waweke hadharani.
Hivi leo ukisikia kabisa kuwa nduguyo amwemwoa mjane wa aliyekufa kwa ukimwi, utajisikiaje?? Hivi kuna mtu hapa ameshauguza ndugu wa ukimwi akaona mateso yake?? Hivi kuna mtu hapa ameachiwa yatima karibu 20 wa ndugu uwatunze na kuhakikisha wanapata huduma muhimu ikiwemo elimu??? Acheni jamani. It pains.
Kwa magonjwa mengine ni kuwa reserved kuheshimu mazishi na waliobaki kama mhusika alikuwa na skendo but kwa ukimwi no way. Tusemezane. Play your part.
Yaaani hapa nakumbuka zeutamu wengine imetusaidia sana tungekuwa sasa tunaishi kwa matumaini hii mada ingekuwepo kwenye zeutamu unaweza ukaona mpaka list ya mchumba ako hivi hivi kisha mnaachana kimyaa kimyaaa.
Dawa ni kuacha tu kumega ovyo ovyo muikimbie dhinaa
Kuacha ngumu mama wa kwanza sema dawa ni kutumia kinga utaeleweka ukisema mtu aache wkt anajua vitu vitamu inakuwa ngumu mwambie dawa ni kukumbuka sox daima.
sasa bora uwe na mke mmoja au mpenzi mmoja na muwe waaminifu,Condom inapunguza tu maambukuzi na siyo kinga asilimia Mia.Kuacha ngumu mama wa kwanza sema dawa ni kutumia kinga utaeleweka ukisema mtu aache wkt anajua vitu vitamu inakuwa ngumu mwambie dawa ni kukumbuka sox daima.