mungu amuweke mahali pema MM
JojiPoji Mungu atamwekaje mahali pema !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Huwezi kuwa mwaribifu alafu utegemee Mungu akuweke mahali pema.Sijui huu ni utamaduni wa kitanzania kuwasifia marehemu ilihali inafahamika matendo wakati wa uhai wao yalikuwa mabaya.
Tumwachie Mungu afanyekazi yake kwani misahafu yote [Quran & Bible] inasema wazi bila kificho mahali wanapokwenda wazinifu,majambazi,malaya,waeneza ukwimi kwa maksudi na wahuni ni moto wa milele.
Najua watakuja washabiki watadai si vyema kuwasema marehemu vibaya lakini ukweli lazima usemwe hata kama utawaumiza ndugu wa marehemu.
Mshahara wa dhambi ni mauti.Meddy aliutumia umaarufu wake vibaya na alistahili kufa.

Wakuu naombeni list ya huyu jamaa si mnajua naoa 2012 nataka nianze kujiridhisha mapemaa.
Sijui imani yako ila kwa imani zote kazi ya kuhukumu ni yake mola pekee, na wewe unayemhukumu medy unajivika koti lake. Huwezi kuongelea hukumu yake hujui iwapo alitubu kwa mola wake kwani haukuwa naye mauti ilipomfika pia hayo mabaya unayompa unaushahidi au ni stori tu za vijiweni?
List haisaidii sana.Dawa ni kupima tu ANGAZA! mjue status zenu.
''Mzee wa Kyela'',
Respect kwa nondo nzito hapo juu!
Hivi hujui kuanzisha mahusiano kama haya ya mapenzi mpaka ukamnasa mtu na mkakubaliana na kwenda kupima unatumia gharama kubwa sana kuanzia time,money n.k sasa ili kukwepa gharama zisizo za lazima ni bora ujue list ili kukwepa chain na cycle ya hawa watu pedeshee alio wapitia.
Huku Kyela pamoja na kuhamasisha wananchi kupinga vita ufisadi na mafisadi tunaelimishana pia kuhusu HIV/AIDS! tupo pamoja
Mtanisamehe wanyakyusa(wa kyela tu) na wahaya lakini lisemwalo lipo,Ati hizi kabila 2 zimefana sana kitabia.
Masa unaweza kujibu kama kuna ka ukweli.
Wanaji-boast sana hii umesahau.Mie huwa napita tu kyela.Tabia yao ya kuwafukuzia wasafwa milimani ndio siipendiWote wanapenda kula ndizi...na niwakarimu sana! Need more? Karibu sana Kyela....
Wanaji-boast sana hii umesahau.Mie huwa napita tu kyela.Tabia yao ya kuwafukuzia wasafwa milimani ndio siipendi
Wote wanapenda kula ndizi...na niwakarimu sana! Need more? Karibu sana Kyela....
Ndizi zipi? Kiguruwe au Mshale? Zilizomenywa au hazinyamwenywa? Hebu fafanua zaidi. Na huu ukarimu ni kwa wanawake tu au kwa wanaume pia? Maana kwa Tanzania ni Makonde pekee ndiyo mkaribu. Unakuta jamaa anamuuliza mkewe "mama Bahati, amekulipa lakini?" Akisikia ndiyo anasema "bachi chawa".
Wakuu naombeni list ya huyu jamaa si mnajua naoa 2012 nataka nianze kujiridhisha mapemaa.
Hivi hujui kuanzisha mahusiano kama haya ya mapenzi mpaka ukamnasa mtu na mkakubaliana na kwenda kupima unatumia gharama kubwa sana kuanzia time,money n.k sasa ili kukwepa gharama zisizo za lazima ni bora ujue list ili kukwepa chain na cycle ya hawa watu pedeshee alio wapitia.
wewe kabonde umepima?INABIDI WANA JF TUWEKE MAJIBU YETU HAPA JAMVINI BAADA YA KUPIMA NGOMA.Nakubaliana na maelezo yako ikitolewa listi bila kumwonea mtu itasaidia sana kupunguzo maambukizi.
Mkuu watu wanajifanya hawajui gharama za kuanzisha mahusiano zilivyo kubwa na kupotezeana muda pasipo sababu.Najua listi inaweza kuwa kubwa na ya kutisha tukianza na yule mbunge dogo nasikia baada ya kupata habari za msiba wa Meddy alilia utadhani kafiwa na First Lady [mama yake],chaajabu hakwenda kumzika mume mwenza.Duh Dogo kwa unafiki hakuna wa kumfikia.
Wazee wa NGO walijua Dogo angechukua kigoda wangekula hasara ya kufanya uchaguzi kabla ya miaka mitano.Bwa ha ha ha !!!.
Nakubaliana na maelezo yako ikitolewa listi bila kumwonea mtu itasaidia sana kupunguzo maambukizi.
Mkuu watu wanajifanya hawajui gharama za kuanzisha mahusiano zilivyo kubwa na kupotezeana muda pasipo sababu.Najua listi inaweza kuwa kubwa na ya kutisha tukianza na yule mbunge dogo nasikia baada ya kupata habari za msiba wa Meddy alilia utadhani kafiwa na First Lady [mama yake],chaajabu hakwenda kumzika mume mwenza.Duh Dogo kwa unafiki hakuna wa kumfikia.
Wazee wa NGO walijua Dogo angechukua kigoda wangekula hasara ya kufanya uchaguzi kabla ya miaka mitano.Bwa ha ha ha !!!.
wewe kabonde umepima?INABIDI WANA JF TUWEKE MAJIBU YETU HAPA JAMVINI BAADA YA KUPIMA NGOMA.
MIMI naanza then wewe ufatieCharity begins at home....anza wewe!