Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,442
uwiii baba MziziMkavu njoo ukanushe
tafadhali nitoe kwenye list utakuwa umekosea.
usije nigombanisha na my akanana Passion Lady
Bibie The secretary bibie.@Madame B ninampenda lakini ana wapenzi wengi humu jamvini ananitia wasiwasi mkubwa.
hivi wewe unamuamini baba wa kambo kuliko mama wa kambo?
Hebu mlete bwana, nawasiwasi akibaki kwako mapenzi yako na Chimbuvu yataendelea.
MziziMkavu muda huu anacheza kidali poo na watasha.
Hivi kwa nini unaniringia? Au kwa vile nimedata sana kwako?MziziMkavu muda huu anacheza kidali poo na watasha.
MziziMkavu muda huu anacheza kidali poo na watasha.
bibie Madame B na bibie Mamndenyi Hamjambo wake zangu?Endelea mwaya.
Akha!
Kwanza kuna taarifa zimeenea kuwa mwataka kumfanya mwanangu ChiMa msukule ili mtajirike.
Sasa Ole wenu...
Ninavopenda kumzalia Ben Saanane mtoto, sidhani kama nitaitoa mimba yake.
Na ya Remote iko njiani.
Arushaone ndo nilimtoaga mtoto wake.
Mtoto wa Chimbuvu nilimpa tedo.
Chilli siri yake naijua mimi,
Japo Ruhazwe JR, Ruttashobolwa na Chibolo waliwahi kuwa waume zangu, lakini sikuwahi kuwazalia.
Na muda huu nina ujauzito wa MziziMkavu.
Upo Bishanga?