Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Achana nae huyu babe Paloma.. Unajua Ruttashobolwa hajui mpaka sasa ashike wapi..
atashika visivyoshikwa afu ikawa tabu!!!
Achana nae huyu babe Paloma.. Unajua Ruttashobolwa hajui mpaka sasa ashike wapi..
ladyfurahia uko faster.........
we hujui wenye ID wanajulikana?utaumbuka nini tena ndugu yangu wakati wewe unaniknemu?
fasta kama nesi wa zamuladyfurahia uko faster.........
Ninavopenda kumzalia Ben Saanane mtoto, sidhani kama nitaitoa mimba yake.
Na ya Remote iko njiani.
Arushaone ndo nilimtoaga mtoto wake.
Mtoto wa Chimbuvu nilimpa tedo.
Chilli siri yake naijua mimi,
Japo Ruhazwe JR, Ruttashobolwa na Chibolo waliwahi kuwa waume zangu, lakini sikuwahi kuwazalia.
Na muda huu nina ujauzito wa MziziMkavu.
Upo Bishanga?
Ha ha ha, umepitiwa na usemi 'hawaachanagi, wanapumzika tu'
Hukumbuki The secretary alikuja kwa mbwembwe, nimemshusha mshipa (hivi mwanamke naye anasg=hushwa mshipa?)
Ssssshhhhhh.......utaharibu.....hujui mi na wewe bado ni siri?
Kopi: Dena Amsi
Ninavopenda kumzalia Ben Saanane mtoto, sidhani kama nitaitoa mimba yake.
Na ya Remote iko njiani.
Arushaone ndo nilimtoaga mtoto wake.
Mtoto wa Chimbuvu nilimpa tedo.
Chilli siri yake naijua mimi,
Japo Ruhazwe JR, Ruttashobolwa na Chibolo waliwahi kuwa waume zangu, lakini sikuwahi kuwazalia.
Na muda huu nina ujauzito wa MziziMkavu.
Upo Bishanga?
umeona na wewe Shark anamnyemelea akanana wako! kalaga baho!!!
umeona na wewe Shark anamnyemelea akanana wako! kalaga baho!!!
Bibie The secretary bibie.@Madame B ninampenda lakini ana wapenzi wengi humu jamvini ananitia wasiwasi mkubwa.uwiii baba MziziMkavu njoo ukanushe