Yale yale ya nitonye na Ruttashobolwa baba mmoja mama mmoja tumbo mbali mbali.....ama kweli kua uyaone?Ninavopenda kumzalia Ben Saanane mtoto, sidhani kama nitaitoa mimba yake.
Na ya Remote iko njiani.
Arushaone ndo nilimtoaga mtoto wake.
Mtoto wa Chimbuvu nilimpa tedo.
Chilli siri yake naijua mimi,
Japo Ruhazwe JR, Ruttashobolwa na Chibolo waliwahi kuwa waume zangu, lakini sikuwahi kuwazalia.
Na muda huu nina ujauzito wa MziziMkavu.
Upo Bishanga?
Yale yale ya nitonye na Ruttashobolwa baba mmoja mama mmoja tumbo mbali mbali.....ama kweli kua uyaone?
Btw kwa nini Madame B hujajibu ujumbe wangu?