mods wakianika PM zetu......

mods wakianika PM zetu......

wewe utabaki unaimba akanana kaire kona....mwenzako anakula kona na akanana wako!

Paloma yale yaleeeeee ya kushikilia pembe wenzio wananiniliyu......
 
Last edited by a moderator:
tupo tuliyempokea hata kabla haujaliona jua
soma hapa

[TD="class: xl67, width: 54"]Warumi[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]12[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]15[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao. [/TD]

[TD="class: xl67"]Warumi[/TD]
[TD="class: xl65"]12[/TD]
[TD="class: xl65"]16[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi. Msinie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge. Msiwe watu wa kujivunia akili. [/TD]
Daaah watu mna mawao hahahaha teteteteteh napita tu hapa siku hizi nimempokea yesu

Ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya
 
Kama mods wana access na hii makitu

Kwisha kabisa...!!!!
Itakuwa hivi:
Inbox ya Mr Rocky: from Mamndenyi..." i can't take it any more nameza sumu ya panya".
Inbox ya Madame B....." kwa nini umechoropoa mimba yangu? From Ben Saanane"
Inbox ya Paloma.... marejesho kachoka sana,mhemko unaniua nisaidie from Filipo
Inbox ya sosoliso.....hivi wewe Paloma kakuroga? From Arabela
Inbox ya Erickb52......achana na Chocs jana nimemwona na Arushaone mount meru,please call amu
Inbox ya pou: hivi huyo King'asti unamjua uzuri? From gfsonwin
Inbox ya Dena Amsi.....we told you Mr Rocky karudi kwa mkewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom