Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Shauri lako, nitakodi wa kukung'oa kucha
niko serias ujue
shauri zako
niko serias ujue
shauri zako
Ninavopenda kumzalia Ben Saanane mtoto, sidhani kama nitaitoa mimba yake.
Na ya Remote iko njiani.
Arushaone ndo nilimtoaga mtoto wake.
Mtoto wa Chimbuvu nilimpa tedo.
Chilli siri yake naijua mimi,
Japo Ruhazwe JR, Ruttashobolwa na Chibolo waliwahi kuwa waume zangu, lakini sikuwahi kuwazalia.
Na muda huu nina ujauzito wa MziziMkavu.
Upo Bishanga?
afadhali mimi sijawahi kuandika pm
ile uliyoniandikia je?
umeona na wewe Shark anamnyemelea akanana wako! kalaga baho!!!
Naona inbox ya Mr Rocky hapo imejaa mara kutoka kwa Mamndenyi mara Dena Amsi
Mbona ya kutoka kwa The secretary kwenda kwa Bishanga hujaweka
Achana nae huyu babe Paloma.. Unajua Ruttashobolwa hajui mpaka sasa ashike wapi..
dah wengine tutaumbuka sana.
hahhahahahah
Mimi na my akanana Passion Lady ndio tutasalimika.