Ewaaa
na ndio maana wanaume wote wa humu mkisimama mbele yangu nawaona mpaka ndani kbs.
Sie tulikaguliwa na mwanamke wa shoka, mwanamke rijali, Bi mkubwa Madame B!
hahhahahahah
Mimi na my akanana Passion Lady ndio tutasalimika.
Achana nae huyu babe Paloma.. Unajua Ruttashobolwa hajui mpaka sasa ashike wapi..
tafadhali nitoe kwenye list utakuwa umekosea.
usije nigombanisha na my akanana Passion Lady
​halafu Shark unaniharibia ujue
hahhahahahaha @ paloma huyo Shark nta mgeuza sato baada ya kumtoa kucha na meno.
chezea my akanana Passion Lady
we sosoliso hebu acha hizo
hakuna wa kumpiku Ruttashobolwa atii!!
Ha ha ha Passion Lady.. Ninapenda tu kumkumbusha Ruttashobolwa kwamba kila abiria anatakiwa auchunge mzigo wake.. Maana ninaona mabegi yanazidi kufanana hapa mtaani..
ebwanaeeeeeee, ila Madame B we si umeniachia hiyo kazi ya kukagua?
Ebu tuweke pembeni lile swala letu la kupimana kwanza
Lady doctor ni mwanaume gani anayekataa kukaguliwa humu mbona wanaume wa humu mmekuwa wabishi yani katiba haifuatwi kabisa
si Filipo huyo mbishi kaa nini.! Nitamkamata kwa nguvu tumfunge kamba ili nimkague