Mobile tracker - simu imeibiwa sa 5:07pm ikapatikana saa 8:49

Big up,
Sasa hiyo mobile tracker ipo kwenye simu zote za samsung? na inasetiwa vipi?
 
Big up,
Sasa hiyo mobile tracker ipo kwenye simu zote za samsung? na inasetiwa vipi?

Sidhani kama ni sumsungu zote bt to see this fanya hizi
  • - kwenye menu bar gonga Settings
  • -Nenda kwenye security
  • -Option ya mwisho utaona mobile tracker
  • ingia hapo kwenye settings-Inabidi uweke password ya herufi 8...then follow the prompt.
 
Hao jamaa mafala sana. Wanakutana na wewe stand? Kama ni mimi ungetoa hela tu!
Tungekutana kitaa kwangu.....hao kweli wauza kuku.
 
Hata Nokia zna application inayoitwa f secure, na nyngne nyng ambazo znaweza kukufanikisha kupata cmu yako kirahc endapo itaibiwa. Inapobadlshwa sim card tu hutuma meseji kwenye trusted number ulyoiset.. Pia application hzo zina ant virus nzuri. Na unao uwezo wa kuscan simu na Memory card kwa kutumia hzo ant virus, pia ant virus hzo zna secure browser yoyote ktk internet ili kuhakiki kuwa hakuna kirusi kitakachoingia katika simu.... Ni aplication nzuri sana kwa wale wanaotumia simu za kisasa...
 
Heshima kwenu wakuu....!
kwa wale wenye simu aina ya IDEOS... vilevile zina application inaitwa phone control , ina run back ground . so mtu akiichukua kama ulifanya setting.... utakua unapata sms zote anazotumiwa na calls zote mbaya zaidi mpaka location kupitia E-MAIL address yako.

Hata kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda kujua nini kinaendelea katika simu za wapenzi wao ni swala jepesi sana...
 
hiyo nimeipenda!vp nokia wanayo hiyo program ili nasi tuenjoy maana tumechoka kuibiwa simu
 

Mi nataka ku download hiyo kitu nipe address
 
Mi nashangaa hawa Polisi wetu, ndio maana watu wanaibiwa maliza zao haswa vitu vya magari alafu unaambie nenda kakinunue gerezani, pale panatakiwa pageuzwe kichwa chini mi miguu juu. inaudhi sana.

mkuu heko kwa zaidi ya unaintelejensia, Hapo lazima wife akukubali zaidi na ma-full confidence
 
Kwa kweli hiyo kitu ni ya kweli kabisa. Mie mwenyewe ilinitokea nikapata simu baada ya kama miezi miwili. Ila mie polisi na kampuni ya simu walihusika. Samsung kiwango
 

Huu pia ni wizi tu....:shetani:
 
Mi nataka ku download hiyo kitu nipe address


kama simu yako ina ovi store itakuwa vzuri zaidi. Nenda kwenye ovi store utafute application inayoitwa f secure n kama ukiikosa hyo waweza kuona nyingne inaitwa netQin ant virus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…