Teh yaani wasiwe na wasiwasi kumteka eneo ambalo mwendo wa dakika mbili umefika makao makuu ya usalama wa taifa ? Dakika moja upo kwa Makamu wa rais ,nusu dakika wapo kwa Waziri mkuu ?
Halafu hawakuwa na wasiwasi kuja kumtupa umbali wa dakika 5 kufika Ikulu ,umbali wa dakika mbili kufika Sealander police post na umbali wa dakika moja kufika wizara ya mambo ya ndani ?...kote huku hawakuwa na wasiwasi waje kuwa na wasiwasi wakati wanataka kuchoma gari kweli ?
Aiseee Hamis eeh nigongee mia nina hamu ya ugoro