Mo Ndani Ya Fox News

Mo Ndani Ya Fox News

Kwa hiyo watekaji walimkabidhi kwa walinzi?
Hiyo hadithi ya simu ya walinzi imekuja baada ya watu kuhoji kuhusu simu

Hapo napo bado yanaibuka maswali mengine kwa hao walinzi, ni wakati gani wamegundua uwepo wa hiyo gari hilo eneo, inasemekana wao ndio waliomfungua kamba alizofungwa. Hawakuona chochote zaidi ya kuikuta tu hiyo gari ikiwa imeachwa?
Nani alikuja nayo, aliondokaje na vitu kama hivyo.
 
Tanzania, watekaji wanatoka nchi jirani wanataka hela hawasemi ni kiasi gani halafu wanakuachia wanakupa simu halafu wanaacha bunduki na kupotea
Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo Sana Kama wa mende.

1. Bunduki walizinunua/waliziandaa ili kufanikisha zoezi la kupata pesa. Kumbuka walifyatua risasi wakati wa zoezi la kuteka so maganda ya risasi yalichukuliwa na polisi. Kupitia hayo maganda ya risasi wataalam wa polisi wangebaini ni bunduki hiyo/hizo ndizo zilizotumika. Kwa wenye uelewa ni lazima wazitelekeze kwa lengo la kupoteza ushahidi. Hivyo kushindwa kufanikiwa kwa zoezi lao ndiyo ilikuwa ukomo wa kuwa na hizo silaha

2. Watekaji siyo waliyompa MO cm ya kuongea na nduguze bali RAIA wema waliyomuokota

3. MO hakuwa na cash money na ili ipatikane cash money ilikuwa ni lazima afanye mawasiliano kupitia hayo mawasiliano watu wa cyber wangebaini location na ingekuwa ni rahisi kuwakamata

4. Mipaka ya nchi ilifungwa so wasingeweza kutoka nje ya nchi ambako wangekuwa na Uhuru wa kufanya communication

Kwa mazingira hayo Kama una akili ya kupambanua mambo ilitakiwa uwasifu hao watekaji ya kuwa wana uelewa mkubwa Sana wa maswala ya kiupelelezi. Kwa kurumia uelewa huo wamefanikiwa mukwepa mbinu zote za kukamatwa wao sambamba na kukamatwa na vielelezo
 
Ni Tanzania tu amtu akitaka kuchoma gari anaanza na kuchoma viti badala ya Tank la Mafuta.

Hapo kwenye red hiyo habari umeipata wapi mkuu?! Mo hakupewa simu na hao watekaji bali alipewa simu na walinzi waliokua eneo lile na kwa vile alikua na namba ya baba yake kichwani ndio akampigia.
hapo kwenye simu ilitoka kwa walinzi wa eneo umeitoa wapi? walinzi wa eneo la tukio uliwasiliana nao wakathibitisha kumpa simu?, je walichukua hatua gani za kiulizi na kiusalama kuhakikisha watekaji hawatoki eneo lile?, je alitupwa eneo lile pasipo walinzi kuona?, yebooo!
 
Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo Sana Kama wa mende.

1. Bunduki walizinunua/waliziandaa ili kufanikisha zoezi la kupata pesa. Kumbuka walifyatua risasi wakati wa zoezi la kuteka so maganda ya risasi yalichukuliwa na polisi. Kupitia hayo maganda ya risasi wataalam wa polisi wangebaini ni bunduki hiyo/hizo ndizo zilizotumika. Kwa wenye uelewa ni lazima wazitelekeze kwa lengo la kupoteza ushahidi. Hivyo kushindwa kufanikiwa kwa zoezi lao ndiyo ilikuwa ukomo wa kuwa na hizo silaha

2. Watekaji siyo waliyompa MO cm ya kuongea na nduguze bali RAIA wema waliyomuokota

3. MO hakuwa na cash money na ili ipatikane cash money ilikuwa ni lazima afanye mawasiliano kupitia hayo mawasiliano watu wa cyber wangebaini location na ingekuwa ni rahisi kuwakamata

4. Mipaka ya nchi ilifungwa so wasingeweza kutoka nje ya nchi ambako wangekuwa na Uhuru wa kufanya communication

Kwa mazingira hayo Kama una akili ya kupambanua mambo ilitakiwa uwasifu hao watekaji ya kuwa wana uelewa mkubwa Sana wa maswala ya kiupelelezi. Kwa kurumia uelewa huo wamefanikiwa mukwepa mbinu zote za kukamatwa wao sambamba na kukamatwa na vielelezo[/QUOTHuna hata haya usoni,dahhh!
 
Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo Sana Kama wa mende.

1. Bunduki walizinunua/waliziandaa ili kufanikisha zoezi la kupata pesa. Kumbuka walifyatua risasi wakati wa zoezi la kuteka so maganda ya risasi yalichukuliwa na polisi. Kupitia hayo maganda ya risasi wataalam wa polisi wangebaini ni bunduki hiyo/hizo ndizo zilizotumika. Kwa wenye uelewa ni lazima wazitelekeze kwa lengo la kupoteza ushahidi. Hivyo kushindwa kufanikiwa kwa zoezi lao ndiyo ilikuwa ukomo wa kuwa na hizo silaha

2. Watekaji siyo waliyompa MO cm ya kuongea na nduguze bali RAIA wema waliyomuokota

3. MO hakuwa na cash money na ili ipatikane cash money ilikuwa ni lazima afanye mawasiliano kupitia hayo mawasiliano watu wa cyber wangebaini location na ingekuwa ni rahisi kuwakamata

4. Mipaka ya nchi ilifungwa so wasingeweza kutoka nje ya nchi ambako wangekuwa na Uhuru wa kufanya communication

Kwa mazingira hayo Kama una akili ya kupambanua mambo ilitakiwa uwasifu hao watekaji ya kuwa wana uelewa mkubwa Sana wa maswala ya kiupelelezi. Kwa kurumia uelewa huo wamefanikiwa mukwepa mbinu zote za kukamatwa wao sambamba na kukamatwa na vielelezo
Hivi wewe kilaza unapajua Gymkhana unapasikia? Gymkhana saa moja tu usiku panatisha kupita na hapo ukipita muda huo unaweza usipishane na mtu mpaka unafika maeneo ta ubalozi sikumbuki vizuri kama ni wa Sweden, Finland au Denmark acha kujifanya mjuaji kwa vitu usivyovijua professional hitmen/kidnappers hawawezi kufanya vituko kama hivyo taarifa zinadai 1 september hakuna gari yenye namba ile na usajili ule liliiingia Tanzania
 
Hapo kwenye red hiyo habari umeipata wapi mkuu?! Mo hakupewa simu na hao watekaji bali alipewa simu na walinzi waliokua eneo lile na kwa vile alikua na namba ya baba yake kichwani ndio akampigia.
Walinzi hawakuliona gari linaachwa watu wanakimbia?
 
Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo Sana Kama wa mende.

1. Bunduki walizinunua/waliziandaa ili kufanikisha zoezi la kupata pesa. Kumbuka walifyatua risasi wakati wa zoezi la kuteka so maganda ya risasi yalichukuliwa na polisi. Kupitia hayo maganda ya risasi wataalam wa polisi wangebaini ni bunduki hiyo/hizo ndizo zilizotumika. Kwa wenye uelewa ni lazima wazitelekeze kwa lengo la kupoteza ushahidi. Hivyo kushindwa kufanikiwa kwa zoezi lao ndiyo ilikuwa ukomo wa kuwa na hizo silaha

2. Watekaji siyo waliyompa MO cm ya kuongea na nduguze bali RAIA wema waliyomuokota

3. MO hakuwa na cash money na ili ipatikane cash money ilikuwa ni lazima afanye mawasiliano kupitia hayo mawasiliano watu wa cyber wangebaini location na ingekuwa ni rahisi kuwakamata

4. Mipaka ya nchi ilifungwa so wasingeweza kutoka nje ya nchi ambako wangekuwa na Uhuru wa kufanya communication

Kwa mazingira hayo Kama una akili ya kupambanua mambo ilitakiwa uwasifu hao watekaji ya kuwa wana uelewa mkubwa Sana wa maswala ya kiupelelezi. Kwa kurumia uelewa huo wamefanikiwa mukwepa mbinu zote za kukamatwa wao sambamba na kukamatwa na vielelezo
Kwa hiyo mipaka ya nchi sasa hivi imefunguliwa baada ya Mo kupatikana ndio maana hamjawapata
 
Back
Top Bottom