Mo Ndani Ya Fox News

Mo Ndani Ya Fox News

Hivyo viswali vyako vya hovyo ndio umeshajiona GT? naona kwa vile umeshaweka bando basi unatiririka tu ili mradi na wewe usisahauliwe humu kua nawe upo JF.
Dogo situmii bado. Mimi matumizi yangu ni yearly subscription. pole sana kama unatumia vibando. Pili upunguze kukurupuka
 
Weka akiba ya maneno huenda unajibizana na mzazi wako bila kujijua coz wote tunatumia fake ID,kua muangalifu sana.
 
Nadhani mimi naweza kuwa mzazi wako japo neno dogo umelianza mwenyewe na kwa tabia hiyo nikakuchukulia kweli ni dogo maana mtu mzima huwezi kutumia kauri za madogoo wa shule. Na mara nyingi ndio wanatumia za bure na zikiisha basi. halafu arguments zao ni za kishule bila kutumia utu uzima
 
Kaa pembeni huna hoja,

Huu muda ungejaribu kuutumia kwa kujifundisha matumizi ya R na L ingekusaidia zaidi.
 
Nikikwambia unakurupuka bila kutumia akili hutakataa, hujui hata rafudhi zinatumikaje lakini kwa sababu ya akili ndogo kubishana na baba zako unakimbilia kunukuu rafudhi. Tunachoangalia je ujembe umefika? Sina muda wa kubishana na wewe maana hujitambui. Issue closed
 
Unaonekana IQ yako ni ndogo sana,wewe ni wakuhurumiwa na kusikitikiwa tu,
Ungekua una akili kubwa usingekua hujui japo tu kuandika lugha yako kwa ufasaha!

Siku nyingine uache kua unakurupuka hovyo kama chafya.
 
Sina muda mchafu
 
Back
Top Bottom