funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Yes WorldwideWorldwide?
Yes WorldwideWorldwide?
Mo mwenyewe Amesema walikuwa na wasi wasi sana.Tanzania, watekaji wanatoka nchi jirani wanataka hela hawasemi ni kiasi gani halafu wanakuachia wanakupa simu halafu wanaacha bunduki na kupotea
Siku hizi hakuna kitu.Tanzania sio nchi ya kuchezea. Kuna wajumbe wa nyumba kumi kumi.
Hawa ni part ya wanachama wa CCM na wanalipwa kwa kazi yao.
Hawafanyi bure. Katika security hapo utachoka mwenyewe. Mwalim Nyerere aliona mbali sana.
Hawajui jinsi hii nchi kiulinzi ikoje? Hiyo ndiyo msingi ya ulinzi wa nchi yetu.
Vinginevyo moja wetu ungesha vunjika.
Hii system Mwalim Nyerere kaitoa kwa wachina. Unachosema na kufanya mitaani tayari kimesha reportiwa kwa wahusika na wanajua nini kinatendeka.
Watanzani hapo zamani walikuwa wakiitwa wadanganyika hivyo kwa kawaida asiri haipoteiTanzania, watekaji wanatoka nchi jirani wanataka hela hawasemi ni kiasi gani halafu wanakuachia wanakupa simu halafu wanaacha bunduki na kupotea
Hata tatizo la usafili wa mwendo kasi lilikwisha kwa kutekwa kwa moIlikuwa ni habari kubwa sio mchezo ndiyo maana wakasimamisha mazingaombwe
HahahaAfu wanataka kuchoma gari moto lakini wanaogopa...
Ndio maana wakawa wapelelezi wana elimu ya ziada katika kubaini mambo yaliyofichikana hahahaNaunga mkono hoja. Ila nashangaa... sijui tulijuaje kama walikuwa na hiyo nia lakini wakaogopa!
Kwamba anaangalia fox news tujueHili limekufurahisha eehh!!?
Mkuu ukichoma moto gari ina maana unazalisha moto mkubwa ukiambatana na moshi na hapo inakua ni rahisi kugundulika hata na mtu aliye mbali.
Mo kasema "watekaji walikua na wasiwasi sana" sasa huenda huo wasiwasi wao ndio uliowafanya waogope kucreate big smoke/fire,unapokua na wasiwasi sana hata maamuzi yako yanakua yakiuoga uoga sana,Kwani unapochoma gari moto unasubiri liwake uote moto? C'mon. Kuwasha gari moto ni sekunde tu na moto huwa unaanza kidogo wakati huo nyie mmeshaondoka.
Labda unambie walitaka kuwasha gari moto halafu wakae waote hapo ndo ntakuelewa.huu ni utetezi ambao hauna mashiko.
Mo kasema "watekaji walikua na wasiwasi sana" sasa huenda huo wasiwasi wao ndio uliowafanya waogope kucreate big smoke/fire,unapokua na wasiwasi sana hata maamuzi yako yanakua yakiuoga uoga sana,
Think big.
Mbona unahamisha magoli tena?! kwani tupo kwenye mashindano?! mimi nimekujibu kua Mo alisaidiwa na walinzi wa eneo lile,kwani unadhani Mo aliachiwa mbele ya hao walinzi huku wakimtizama? naona kama vile umejikoki kubishana!!!Walinzi waliokua eneo lile hawakuliona gari lililomshusha Mo wala Mo hakuwaambia kua nilikua nimetekwa au walikua hawajui kua Mo alitekwa?
Watekaji walikuja na Mo wakamshusha na wakaondoka bila gari ila walinzi hawakuwaona wakaona Mo tu?
Kwahiyo wewe unajua zaidi kuliko aliyetekwa eeh! tuamini maneno yako wewe uliyepo huko Tandahimba au tuamini maneno ya Mo?Wangekuwa na wasiwasi wasingempeleka gymkhana na gari lile lile walilomtekea .gymkhana ni maeneo yaliyo karibu na ikulu. Watekaji waliomteka asubuh sehemu ambayo waliweza piga risasi hewani zikasikika na wakapotea wasionekane 9 days.
Gari yao ikapigwa picha za mnato huko ilikokuwepo.ikaoneshwa kwenye vyombo vya habari.walikuwa na wasiwasi gani?they were faking...kumwonesha waswas.wamekaa naye 9 days. Wamemrudisha eneo ambalo ni la hatari kwao.unadhan walikosa utaalam wa kuwasha gari?
Think outside the box.coz you might think big in a small world.
Kwahiyo wewe unajua zaidi kuliko aliyetekwa eeh! tuamini maneno yako wewe uliyepo huko Tandahimba au tuamini maneno ya Mo?
Seat ya mbele kwa nyuma imeungua.Naunga mkono hoja. Ila nashangaa... sijui tulijuaje kama walikuwa na hiyo nia lakini wakaogopa!
Kwa hiyo watekaji walimkabidhi kwa walinzi?Hapo kwenye red hiyo habari umeipata wapi mkuu?! Mo hakupewa simu na hao watekaji bali alipewa simu na walinzi waliokua eneo lile na kwa vile alikua na namba ya baba yake kichwani ndio akampigia.
Walihamisha hisia za Wadanganyika ili wasijadili tena lile suala.Hata tatizo la usafili wa mwendo kasi lilikwisha kwa kutekwa kwa mo
Hapo kwenye red hiyo habari umeipata wapi mkuu?! Mo hakupewa simu na hao watekaji bali alipewa simu na walinzi waliokua eneo lile na kwa vile alikua na namba ya baba yake kichwani ndio akampigia.