technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,562
- 57,887
Siku hizi hakuna kitu.
Waulize akina Jokakubwa ,Mag3 Fundi Mchundo zama hizo balozi wa nyumba kumi na majukumu na heshima yake
Kwa taarifa yako balozi wa nyumba kumi zama hizo alikuwa mjumbe bila kujali vyama
Bado kabisa na hujui nini ilikuwa Tanzania kiulinzi. Hakuna kitu siku hizi usijidanganye
True nakumbuka babu yangu alikuwa pia mjumbe sikuwai kumuona amevaa sale ya ccm
Ila nilikuja kupata fununu alikuwa usalama wa taifa baada ya Sumaye kuja kwenye mazishi yake mwaka 2003 akiwa waziri mkuu
Ilikuwa ni ngumu sana kuelewa imagene amekuwa usalama wa taifa toka nchi inapata uhuru mwaka 1961 mpaka anakufa hakuna ndugu hata mmoja anajua
Lakini ukija kwa wanausalama wa siku hizi ndio utashangaa sana.