Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Jaman tangia huyo jamaa aingie bungen kimara hakuna maji na yeye kaz nikumshambulia waziri maji bungeni.2015 harudi tna

Geita pamoja na kuwa wilaya toka mwaka 1902 enzi za mjerumani na wananchi wake kuichagua CCM kwa miaka zaidi ya miaka hamsini hakuna hata maji ya kuchambia, sijui huko tatizo ni mnyika pia?
 
Maji ni kero hadi sehemu zenye mito nmekaa korogwe eneo linalokatisha mto pangani( wenyeji wanaliita ruvu) kuna shida kubwa ya maji na siku wakiyapata wanapata maji machafu sana ambayo hayajatibiwa kutoka mtoni.
 
apewe hela zipi tena wakati anamgao wa 50m kila mwezi anapeleka wapi? pesa za ushuru wa standi ya ubungo anapeleka wapi? pesa ya maegesho ya magari? au ndo vibopa wananunulia mafuta ya chopa?

mkuu wangu pumzika,hujui kitu kabisa.inabidi nijipange sana kukuelekeza mfumo wa serikali,hata akiuza kila kitu chake mnyika hawezi kumaliza tatizo la maji jimboni kwake.hiyo 50m analipwa ya nini?na nani?
 
mchumia tumbo apewe nchi teh!
Maji ni jukumu la wizara ya Maji mnyika ni kuisimamia tu nakuongeza uwajibikaji.anayepaswa kulaumiwa si Mnyika bali waziri.husika.mkitaka kumlaumu Mnyika subirini apewe nchi mje mpige kelele
 
Huo ni utekelezwaji bora wa Ilani ya ccm! Munamshambulia yeye kwani ndo mwenye Ilani inayotekelezwa?,Mmevurugwa nyie simuende mukalalamike kule lumumba munakopewa hela ya kula

nina wasiwasi na uraia wako jiangalie operesheni tokomeza inakuja tena, kama hana ilani alijipendekeza kugombea ili iweje? kenge kabisa. hiyo red ishapelekwa kwa mkuu wa operesheni subiri tu.
 
Jaman tangia huyo jamaa aingie bungeni, Kimara hakuna maji na yeye kazi ni kumshambulia waziri wa maji bungeni.

2015 harudi tena.

kuna jamaa mmoja humu jamiiforum amesema "kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake peke yake"
 
Hata msingemchagua mnyika hayo maji msingepata. Ubunge ni jimbo gumu sana.
 
halafu sijui hawa viongozi wanafanyaga nini,mi nasikia dili la kuuza maji kimara ni mchongo wa viongozi wa juu wa dawasco ndio maana maji hayafiki kimara. by the way inatakiwa siku watanzania tuingie barabarani manaake la sivyo watoto wetu wataishi maisha magumu baadaye na kutulaumu milele na milele.NASEME HIVI SIKU TUINGIE BARABARANI F.U.C.K kodi tunalipa halafu wenyewe wanafanya ungese tu.
well said broo...kuna kitu kinaendelea na huu ujinga ni ujinga wetu watanzania
 
Fitina titi la paka halifai kwa mtindi. Acheni unafiki mara ngapi kapeleka hoja za maji bungeni zikatupiwa kapuni na serikali yenu ya fitina mradi tu aonekane hafanyi kazi.

Na msiconclude jimbo zima kama mnavyojifariji kimara hamkai pekenu huku kwetu kuna maji na likitokea tatizo tunaenda wenyewe Dawasco na wanakuja kurekebisha na likiwa kubwa Mara nyingi Mnyika amekuwa akitolea majibu baada ya kufatilia. Nyie kaeni tu hata bomba likipasuka msubiri mnyika aje awaendee dawasco kwa tatizo dogo tu, acheni uvivu.

Kama kura hamtapiga wengine tupo tutampigia mbunge wetu.
Utakuwa unaishi kimara ya mwanza, au mnyika n mdogo wako. N kimara ipi iliyo na maji?
 
Utakuwa unaishi kimara ya mwanza, au mnyika n mdogo wako. N kimara ipi iliyo na maji?

Kimara kata ya Saranga we unakaa goba porini kule nako utauta kimara au mwabepande kwani ye kawatuma muishi porini? alafu wengi mnaolalamika hata kadi za kura tu hamna sembuse kupiga kura mnakaa hapa kujishaua mlimpigia kura. Kwani mbunge angekuwa Huyo Ng'umbi maji ndo yangetoka? huyo Keenja aliyaleta? anyway mkikua mtaacha.
 
Kimara kata ya Saranga we unakaa goba porini kule nako utauta kimara au mwabepande kwani ye kawatuma muishi porini? alafu wengi mnaolalamika hata kadi za kura tu hamna sembuse kupiga kura mnakaa hapa kujishaua mlimpigia kura. Kwani mbunge angekuwa Huyo Ng'umbi maji ndo yangetoka? huyo Keenja aliyaleta? anyway mkikua mtaacha.
Mkuu m nakaa kimara mwisho, maji hakuna may b ww una ukoo na mbunge! Halafu mkuu hv ile m50 inafanya kazigan au ndo yule b mdogo anaitafuna?
 
Mkuu m nakaa kimara mwisho, maji hakuna may b ww una ukoo na mbunge! Halafu mkuu hv ile m50 inafanya kazigan au ndo yule b mdogo anaitafuna?

Bahati mbaya Mnyika hakai porini huku na hyo mil 50 kwani anadhikishwa mkononi.
 
Kazi ya mbunge ni kuisimamia serikali ili iweze kutimiza wajibu wake kwa wananchi ikiwemo kupata maji safi na salama kazi ambayo John Mnyika anaifanya kwa usahihi, tatizo la maji ni janga la kitaifa na si Ubungo pekee bali nchi nzima, ki ukweli kiwango cha upatikanaji wa maji jimboni ubungo kwa sasa ni cha kuridhisha ukilinganisha na miaka ya nyuma ingawa bado kuna baadhi ya maeneo jimboni maji hayafiki kutokana na miundombinu mibovu ya kupitisha maji na maeneo mengine kukosa kabisa miundombinu hiyo jambo ambalo mh. Mnyika anaendelea kulipigania.
 
asee we unaishi stop over ip kwasababu sisi tunao ishi huu upande royal edp maeneo ya kwa mama mzungu,maua record,nyangado,shamba la geta,msikiti wa udongo maji hayatoki yana tunanunua maji
 
Back
Top Bottom